Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Comment ya kijinga sana, Rwanda nayo utasema ni idadi ndogo ya watu?wako wengi sana kwao..usifanye comparison na nchi nyingine za Africa haitakua fair...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment ya kijinga sana, Rwanda nayo utasema ni idadi ndogo ya watu?wako wengi sana kwao..usifanye comparison na nchi nyingine za Africa haitakua fair...
Kwahiyo idadi ya raia wa Rwanda ni sawa na China maana population ya Rwanda ni ndogo kulinganisha na Tanzania lakini kimaendeleo wapo mbali.. Muachage kula wali na sembenchi zote zenye population kubwa ni matajiri na wana kila aina ya kipaji....MF USA, China,India, Russia etc..Nigeria kwa population yake..jumlisha E.Africa na southern Africa yote ndo upate idadi ya wanaijeria
Comment ya kijinga sana, Rwanda nayo utasema ni idadi ndogo ya watu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ! Nigeria wao Wana mavazi yao yanaitwa 'mavazi ya ki Nigeria 'Jicho Langu, Nijeria Ni Nchi Pekee Africa Inayotukuza Utamaduni Wao Kwa Kulinda Mila Na Desturi Zao....
Wanaamini Katk Wao Ndo Maana Hawajaathiriwa Sana Na Tamaduni Za Kimagharibi Tofaut Na Nchi Zngne Baada Yakuja Umagharibi Tumezificha Mila Zetu Na Kuhisi Ni Mambo Yakizamani....
Mfano Sisi Wabongo Hatuna Uhalisia Wowote Katka Kila Tulifanyalo Yaani Kila Kitu Ni Tunakopi Kwa Wazungu, Tujifunze Kwa Nijeria Maybe Twaweza Toboa
Unakuwaga na kaukabila kisiri siri ,mbona pia mna IQ ndogo hatusemi ,msukuma mwenye akili ni magufuli tuuNigeria ina dorminate kutokana na idadi ya watu. Kwa mujibu wa sensa yangu ya kwanza ni sensa ya mwaka 1978 sisi Tanzania tukiwa milioni 19, Nigeria walikuwa milioni 150!. Hivyo success kwenye kila kitu inatokana na idadi ya watu. Wachina wako bilioni 1.5 ndio wanatawala dunia.
Hata kwa Tanzania kati ya watu milioni 50, Wasukuma ni 10 million na ndilo kabila linaloongoza kwa fertility rate, procreation rate, na birth rate hivyo 2099 Wasukuma tutakuwa milioni 50 Watanzania tukiwa milioni 150 kama Nigeria ile.
P
Kuhusu IQ ya JPM, nakubali kwasababu jamaa amefanya Ph.D ya kemia kwa miaka 3 ambapo hilo linawezekana kwa full time tuu lakini yeye ameifanya kwa part time miaka hiyo hiyo mitatu huku akiwa mbunge, na Waziri na bila kuchukua likizo. Yaani amekuwa enrolled fulltime course ya course wark and dissertation, huku akiwa Waziri fulltime na Mbunge fulltime.Unakuwaga na kaukabila kisiri siri ,mbona pia mna IQ ndogo hatusemi ,msukuma mwenye akili ni magufuli tuu
kweli mnaijeria hata azaliwe Los Angeles utakuta anaitwa Adegeyo Babatunde OkonukwoJicho Langu, Nijeria Ni Nchi Pekee Africa Inayotukuza Utamaduni Wao Kwa Kulinda Mila Na Desturi Zao....
Wanaamini Katk Wao Ndo Maana Hawajaathiriwa Sana Na Tamaduni Za Kimagharibi Tofaut Na Nchi Zngne Baada Yakuja Umagharibi Tumezificha Mila Zetu Na Kuhisi Ni Mambo Yakizamani....
Mfano Sisi Wabongo Hatuna Uhalisia Wowote Katka Kila Tulifanyalo Yaani Kila Kitu Ni Tunakopi Kwa Wazungu, Tujifunze Kwa Nijeria Maybe Twaweza Toboa
Kwa hilo alipigwa tafu sana tu.Kuhusu IQ ya JPM, nakubali kwasababu jamaa amefanya Ph.D ya kemia kwa miaka 3 ambapo hilo linawezekana kwa full time tuu lakini yeye ameifanya kwa part time miaka hiyo hiyo mitatu huku akiwa mbunge, na Waziri na bila kuchukua likizo. Yaani amekuwa enrolled fulltime course ya course wark and dissertation, huku akiwa Waziri fulltime na Mbunge fulltime.
Ingefanywa sensa ya makabila ya Ph.D holders, you'll be surprised!.
P
Umewaza Kama Mimi yaani.Comment ya kijinga sana, Rwanda nayo utasema ni idadi ndogo ya watu?
Sent using Jamii Forums mobile app
1.lugha ya kiingereza ni basic, sio anasaWana bodi, kwenye kufanya utafiti wangu mkubwa nimegundua na kuona kwamba taifa la Nigeria limedominate Karibu mambo mengi sana mfano kwenye muziki Muziki na Wana muziki wa Nigeria ni maarufu sana Africa na duniani kwa ujumla mfano Wizkid, patoranking, chidinma, yemi alade, femi kuti, davido, Mr favour, falz, tiwa savage, don Jazzy, p square, kipengele cha pili ambacho Nigeria wame dominate ni Kwenye fasihi na sanaa itakuwa movies za Nigeria zinatamba Africa na duniani kote kutokana na waigizaji mahiri na wenye passion na moyo na kazi yao mfano Hawa vijana Kama kina Aki na ukwa etc, kwenye uwanda wa Fasihi kwa Hapa Africa Nigeria imebeba wana fasihi wakubwa na mahiri mfano Huyu Wole Soyinka ambaye ni Mshindi wa tuzo ya amani ya 'Nobel Prize ' kwenye fasihi mwaka 1986, Mwingine ni huyu Chinua Achebe Wengi wetu tumemsoma kwenye 'Things Fall apart ' ni mwana fasihi aliyetukuka na kuheshimika
hapa barani Africa,
Kwenye kipengele cha michezo hususan mpira Nigeria wenyewe mnaona 'super eagles ' wakiingia Mara kadhaa kwenye kombe la dunia,
Kipengele kingine ni mabilionea Nigeria kuna mataycoon maarufu sana mfano tajiri Aliko dangote, Mike Adenuga, Alakija
Kipengele cha idadi ya watu Nigeria wanaongoza hapa Africa wapo milioni 200+
Kipengele kingine cha Uchumi nigeria wanawongoza hapa Africa
Kipengele kingine japo sio cha muhimu ni kwamba makabila ya Nigeria ni makubwa sana yaani yana idadi kubwa Sana ya watu mfano Wahausa, Yoruba etc
Hebu tujadili why Nigeria hawa wame dominate mambo mengi sana kiasi cha kwamba kuonekana Hawa wanaigeria kuonekana wao Kama hawapo Africa vile wao ni level ya mataifa makubwa duniani!
Nb Nigeria ni moja ya nchi ambazo Hapa Africa wamepinduana Sana /marais wamepinduliwa sana!
This is English Not NigerianBOXING
Anthony Oluwafemi Olaseni Joshua 'AJ'View attachment 1302876
Sent using Jamii Forums mobile app