Kwanini taifa la Nigeria limetawala sekta nyingi sana na kuwa na masupa star Wengi Sana na mabilionea?

Kwanini taifa la Nigeria limetawala sekta nyingi sana na kuwa na masupa star Wengi Sana na mabilionea?

Quality ya watu unaipimaje!?.. Yani kuna jamii ya watu ni useless kuzaliwa jaza taifa!?. Jamii ya watu gani hao wakizaliana sana impact itaonekana?
Fanya utafiti utapata majibu, kuna jamii ambazo zina watu wachache lakini wanafanya maajabu duniani mpk sisi huku tuna benefiti na technology zao na kuna jamii wako wengi lakini ukiwasikia tu utaanza ficha mali zako. Yaani kwa ujumla uwepo wao wengi ni mateso kwa wengine hutakuwa na amani.
Kuna kijiji niliishi kuna bibi wawili wote wako above 80s mmoja ana wajukuu 75 na mwingine ana wajukuu 28 ila wote hawa mabibi wana the same idadi ya watoto ila kwa wajukuu ndio tofauti huyu mwenye wajukuu wengi wawili tu ndio wana degree na ambao hawasaidii chochote, huyu mwenye wachache katoa Professors, doctors, engineers, lawyers wengi wako nje lakini wameleta mabadiliko sana kwenye jamii yao so uchache wao hauonekani bali changes ndio tumebenefits nazo so quality is better than quantity
 
Idadi ya watu inachangia sana ukuaji wa uchumi. EXP DSM inapopulation kubwa ya watu ndio maana nabilionea wengi wanapafikana DSM.
nchi zote zenye population kubwa ni matajiri na wana kila aina ya kipaji....MF USA, China,India, Russia etc..Nigeria kwa population yake..jumlisha E.Africa na southern Africa yote ndo upate idadi ya wanaijeria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya utafiti utapata majibu, kuna jamii ambazo zina watu wachache lakini wanafanya maajabu duniani mpk sisi huku tuna benefiti na technology zao na kuna jamii wako wengi lakini ukiwasikia tu utaanza ficha mali zako. Yaani kwa ujumla uwepo wao wengi ni mateso kwa wengine hutakuwa na amani.
Kuna kijiji niliishi kuna bibi wawili wote wako above 80s mmoja ana wajukuu 75 na mwingine ana wajukuu 28 ila wote hawa mabibi wana the same idadi ya watoto ila kwa wajukuu ndio tofauti huyu mwenye wajukuu wengi wawili tu ndio wana degree na ambao hawasaidii chochote, huyu mwenye wachache katoa Professors, doctors, engineers, lawyers wengi wako nje lakini wameleta mabadiliko sana kwenye jamii yao so uchache wao hauonekani bali changes ndio tumebenefits nazo so quality is better than quantity
Wat a best comment.... Pata pepsi baridi ntalipa aiseee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu IQ ya JPM, nakubali kwasababu jamaa amefanya Ph.D ya kemia kwa miaka 3 ambapo hilo linawezekana kwa full time tuu lakini yeye ameifanya kwa part time miaka hiyo hiyo mitatu huku akiwa mbunge, na Waziri na bila kuchukua likizo. Yaani amekuwa enrolled fulltime course ya course wark and dissertation, huku akiwa Waziri fulltime na Mbunge fulltime.

Ingefanywa sensa ya makabila ya Ph.D holders, you'll be surprised!.
P
Phd holder wa kudanganya ,kamata,teka poteza na plea bargaining.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ethiopia tajiri ni serikali. Watu ni choka mbaya. Na by the way, wana maendeleo ya vitu kuliko watu. Purchasing power ya Nigerian individual ime surpass vibaya mno ya Ethiopia na nchi nyingi za Afrika. Kwa hiyo tukubali hawa watu wapo vema upstairs.

Ethiopia wana closed economy na kila kitu kipo controlled na serikali. Population ni kubwa kuliko resources walizonazo na ndio maana nchi yao inawekeza zaidi katika service industry ambayo haitegemei sana natural resources.. wapo futuristic

Ukija kwenye uchumi, Nigeria ni Africa's Giant lakini bado katika maendeleo ya watu yaani HDI bado wapo worse . Uchumi wao unategemea mafuta ambayo yanaendeshwa kwa kiasi kikubwa na makampuni ya nje hivyo hayachangii sana katika maendeleo ya mtu mmoja mmoja. PER CAPITAL INCOME YAO haireflect maisha halisi kutokana na EXCEPTIONS zake
 
Chinua Achebe....Hivi huyu kamzidi Peter Abrahams...? Wana uchumi mkubwa...mbona hatuoni impact kubwa...Mji wa Lagos umeachwa vizuri na Capetown wachilia mbali baba lao Johannesburg.... Hata miundombinu Nigeria ikasome kwa south Africa... Sifa zote lkn impact ndogo.
 
Nigeria ni fame tu ya music na burudani sioni kingine...vingine vya kawaida saana.
 
Kuna nchi nilikuwepo,yan kila mnigeria nitakaekutana nae awe ke au me akishaniuliza nchi ninayotoka kinachofuata baada ya kujua si mnigeria mwenzao lazima anichomekee alishakua na dem au bwana wa kitanzania [emoji3],jamaa wako charming sana lakini kamba kali,ukizubaa tu wamekuliza
Wanigeria kinachowabeba ni elimu na exposure, wengi wanaishi nje ya nchi yao, Ulaya Nigeria inajulikana sana kwa wingi wao, ukisema umetoka africa , utasikia" near nigeria". hahaha sema ni matapeli hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nigeria ina dorminate kutokana na idadi ya watu. Kwa mujibu wa sensa yangu ya kwanza ni sensa ya mwaka 1978 sisi Tanzania tukiwa milioni 19, Nigeria walikuwa milioni 150!. Hivyo success kwenye kila kitu inatokana na idadi ya watu. Wachina wako bilioni 1.5 ndio wanatawala dunia.

Hata kwa Tanzania kati ya watu milioni 50, Wasukuma ni 10 million na ndilo kabila linaloongoza kwa fertility rate, procreation rate, na birth rate hivyo 2099 Wasukuma tutakuwa milioni 50 Watanzania tukiwa milioni 150 kama Nigeria ile.

P
We Mzee muongo sana. China haina hiyo population. Na wala Wasukuma sio 10mil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Mzee muongo sana. China haina hiyo population. Na wala Wasukuma sio 10mil

Sent using Jamii Forums mobile app
2018= 195,874,740

2017= 190,873,311

2016 =185,960,289

2015 =181,137,448

2014 =176,404,902

2013= 171,765,769

2012 =167,228,767

2011 =162,805,071

2010 =158,503,197

2009= 154,324,933

2008 =150,269,623

2007 =146,339,977

1978 = ml 70.

Fix nyingi saana JF...sasa watu kama 78 walikuwa ml 150 si kwasasa wangeshakuwa million 500..ina maana population growth ni 0.003??
 
Nigeria ina dorminate kutokana na idadi ya watu. Kwa mujibu wa sensa yangu ya kwanza ni sensa ya mwaka 1978 sisi Tanzania tukiwa milioni 19, Nigeria walikuwa milioni 150!. Hivyo success kwenye kila kitu inatokana na idadi ya watu. Wachina wako bilioni 1.5 ndio wanatawala dunia.

Hata kwa Tanzania kati ya watu milioni 50, Wasukuma ni 10 million na ndilo kabila linaloongoza kwa fertility rate, procreation rate, na birth rate hivyo 2099 Wasukuma tutakuwa milioni 50 Watanzania tukiwa milioni 150 kama Nigeria ile.

P
Mzee Pascal acha fix.... million 150 hao wanigeria wa wawapi mwaka 1978? Hata kama hatukwepo lakini hujiulizi hata population growth yao ni asilimia ngapi kama 78 walikuwa 150 leo wapo 200??

Kidogo uangalie na mambo ya kudanganya.
 
Wanaigeria wako zaidi ya milioni 200.

Huku nchini kwao keki ya taifa inaliwa na watawala tu kama bongo.

Hivyo kwa mnaigeria wa kawaida kuishi ni MPAMBANO haswaa.

Maisha Nigeria ni Survival Of The Fittest.

Bila Kuchangamka Kibabe Utaendelea Kuwaona Wenzio Wanasaza Huku Wewe Ukifa Njaa.

Ndio Maana Nigeria Kila Mtu Yuko Serious Kwa Kuwa "Being That Serious Is The Only Way To Survive"

Na Kumbuka Nigeria Hawaendelezwi Na Serikali Yao. Ni Mapambano Binafsi.

Maisha Yakikushinda Nigeria Chomoka Katafute Fursa Kokote Duniani Unakojua - Passport Zinapatikana Kama Njugu ( Huwa Wanaumiza Kichwa Viza Tu )

Lastly, Wananchi wao Kwa Wao Pia Huwa Wanasaidiana Tu, Siyo Waswahili Swahili Roho Za Korosho.
 
Nigeria ina dorminate kutokana na idadi ya watu. Kwa mujibu wa sensa yangu ya kwanza ni sensa ya mwaka 1978 sisi Tanzania tukiwa milioni 19, Nigeria walikuwa milioni 150!. Hivyo success kwenye kila kitu inatokana na idadi ya watu. Wachina wako bilioni 1.5 ndio wanatawala dunia.

Hata kwa Tanzania kati ya watu milioni 50, Wasukuma ni 10 million na ndilo kabila linaloongoza kwa fertility rate, procreation rate, na birth rate hivyo 2099 Wasukuma tutakuwa milioni 50 Watanzania tukiwa milioni 150 kama Nigeria ile.

P
Ocean road hospital wasukuma wana namba kubwa sana three quarters.
 
Nigerians wapo karibia kila nchi katika hii Dunia.

Upande wa Intellectual pia wako njema sana, greatest Mathematicians wanao wakutosha..

Kuna mdau ameongelea suala la kutoathirika na Umagharibi, mpaka kesho hawajapoteza lafudhi yao.. Wengi wao akiongea maneno mawili unajua huyu mnigeria, akina sisi wengine mtu akienda UK au US ataStruggle kuongea kama Britons au Americans.. Kitu ambacho kinatupotezea identity yetu.

Halafu Kuna suala na majina, jamaa wanajua kuenzi majina yao ya asili, hawaoni hatari kuwa na jina refu kama 30cm ruler,

Kama idadi ya watu inawafanya kuwa hivi walivyo, inabidi tumuunge mkono namba 1, tufyatue watoto mazee..
Nigeria mnigeria akitaka hati ya kusafiria haitishwi cheti cha kuzaliwa cha bibi wa mama yake!

Kule hakuna mashtaka ya utakitishaji fedha, sijiu uchochezi wala makosa ya kumtusi rais.

Wenzetu sio aibu kushindwa kwenye box la kura.
 
Back
Top Bottom