Fanya utafiti utapata majibu, kuna jamii ambazo zina watu wachache lakini wanafanya maajabu duniani mpk sisi huku tuna benefiti na technology zao na kuna jamii wako wengi lakini ukiwasikia tu utaanza ficha mali zako. Yaani kwa ujumla uwepo wao wengi ni mateso kwa wengine hutakuwa na amani.Quality ya watu unaipimaje!?.. Yani kuna jamii ya watu ni useless kuzaliwa jaza taifa!?. Jamii ya watu gani hao wakizaliana sana impact itaonekana?
Kuna kijiji niliishi kuna bibi wawili wote wako above 80s mmoja ana wajukuu 75 na mwingine ana wajukuu 28 ila wote hawa mabibi wana the same idadi ya watoto ila kwa wajukuu ndio tofauti huyu mwenye wajukuu wengi wawili tu ndio wana degree na ambao hawasaidii chochote, huyu mwenye wachache katoa Professors, doctors, engineers, lawyers wengi wako nje lakini wameleta mabadiliko sana kwenye jamii yao so uchache wao hauonekani bali changes ndio tumebenefits nazo so quality is better than quantity