Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Afu nasikia Majaliwa ako na hisa nyingi kwenye hiyo bodi kutoka Kenya??wakuu kumbe bodi ya michezo ya kubahatisha tz inaitwa sportpesa na hamsem!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu nasikia Majaliwa ako na hisa nyingi kwenye hiyo bodi kutoka Kenya??wakuu kumbe bodi ya michezo ya kubahatisha tz inaitwa sportpesa na hamsem!
Bongo hakuna tu,bali kuna wapiga posho kwa mgongo wa tume.Imeshaundwa tume, kila mwenye maelezo yanayohitajika atahojiwa bila shaka. Tuipe muda hii tume, ikija majibu mepesi ndiyo turuke nao.
Ova
Kesi ya ngedere kwa nyani.View attachment 3164278
Mbunge wa jimbo la kinondoni kupitia CCM Mheshimiwa Talimba Abbas, alitakiwa ahojiwe japo Kidogo asaidie Polisi wajue sehemu ya kuanzia kutokana na kuporomoka kwa Gorofa la kariakoo lililoua Watu 29
Tofauti na kuwa mwanasiasa, Abbas ni mfanyabiashara pia zikiwemo za Michezo ya kubahatisha, pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (SportPesa)
Nina imani kama Serikali ingemhoji angeonesha njia. Angesema nini kilitokea.
Wasiwasi wangu ni kama haki inaweza kutendekea kwa sabababu Abbas ndo Mdhamini Mkuu wa Kampeni za CCM.
Bibi wa Kizimkazi!Kuna mshamba alisema kifo ni kifo tu. Huyo ndiye mwenye mjengo
Mchaga anaitwa nani mkuuGhorofa ni la mchaga kwa ninavyofahamu, liliuzwa miezi miwili kabla ya huo ukarabati kuanza.
Unanijuwa mm nani? Enzi za JPM angekuwa ndaniView attachment 3164278
Mbunge wa jimbo la kinondoni kupitia CCM Mheshimiwa Talimba Abbas, alitakiwa ahojiwe japo Kidogo asaidie Polisi wajue sehemu ya kuanzia kutokana na kuporomoka kwa Gorofa la kariakoo lililoua Watu 29
Tofauti na kuwa mwanasiasa, Abbas ni mfanyabiashara pia zikiwemo za Michezo ya kubahatisha, pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (SportPesa)
Nina imani kama Serikali ingemhoji angeonesha njia. Angesema nini kilitokea.
Wasiwasi wangu ni kama haki inaweza kutendekea kwa sabababu Abbas ndo Mdhamini Mkuu wa Kampeni za CCM.
Kama mmiliki ni kada wa ccm hapo haki haitatendeka. Uwezekano wa wahanga kuhongwa ni mkubwa sana.View attachment 3164278
Mbunge wa jimbo la kinondoni kupitia CCM Mheshimiwa Talimba Abbas, alitakiwa ahojiwe japo Kidogo asaidie Polisi wajue sehemu ya kuanzia kutokana na kuporomoka kwa Gorofa la kariakoo lililoua Watu 29
Tofauti na kuwa mwanasiasa, Abbas ni mfanyabiashara pia zikiwemo za Michezo ya kubahatisha, pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (SportPesa)
Nina imani kama Serikali ingemhoji angeonesha njia. Angesema nini kilitokea.
Wasiwasi wangu ni kama haki inaweza kutendekea kwa sabababu Abbas ndo Mdhamini Mkuu wa Kampeni za CCM.
Awe yeyote yule kinachotakiwa je kibali kilitolewa? Kama kipo namna ya kuhakikisha gorofs ya juu iko salama wakati wa kuchimba chini ya jengo ulizingatiwa? Wahandisi wzliokuwa wanasimamia zoezi hilo ndio wa kutafuta. Majengo mengi tu hapo kariakao yameongezewa basement floir chini na yapo salama.mara mchaga mara tarimba mara mtoto wa samia. upi ukweli?
yote kwa yote alaaniwe na walaaniwe waroho wa utajiri wasiojali utu
Ingekuwa mwenye jengo ni mtu wa kawaida.. ungesikia ametajwa na kila kiongozi pale na kudhalilishwa sana kama yule wa keko wakati wa Lowassa. Nilipoona tu kimya nikajua kuna mkubwa sana anamiliki hilo jengo, kwa hiyo sitashangaa akiwa ndio huyu bwana Tarimba.Duuh kwa hiyo ndio mwenye jengo au la ndugu, jamaa yake?
Ukisakwa na kuambiwa uthibitishe hayo unayodai utasema unaonewa?Wacha kuropoka kwa kujicha JF.Watamhoji vipi wakati ghorofa lililoanguka ni Mali ya mtoto wa mama? Na lilianguka baada ya kutaka kuongeza chumba chini ya ardhi licha ya kuzuiwa kufanya Hivyo na timu ya wataalamu wa ujenzi.
Unisake utanipataje kwanza? Jf is where we talk open and free.Ukisakwa na kuambiwa uthibitishe hayo unayodai utasema unaonewa?Wacha kuropoka kwa kujicha JF.
Simfahamu jina mkuu, ni maneno ya wadau hapa kkoo, Nita uliza zaidiMchaga anaitwa nani mkuu