Kwanini Talimba Abbas hahojiwi kutokana na Gorofa lililoporomoka na kuua Kariakoo?

Katika Uislamu kinachoangaliwa ni Quran na hadithi za Mtume Muhammad S.A.W na sio matendo ya watu. Ktk uislam anaecheza kamari hata akiwa sheikh hukumu yake motoni. Ingia ktk uislam uone raha
Kwa hiyo raha ya uislamu ni kwenda kinyume na Quraan na hadithi......Qurani inakataza kitimoto, mimi nayeitwa Juma, Hamisi nakula...kweli hapo ndipo unapoona raha ya Uislamu!
 
Qur'an

1. Surah An-Nisa (4:135): "Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimama kwa haki, kuwa mashahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, ijapokuwa dhidi ya nafsi zenu au wazazi wawili na jamaa zenu. Kama akiwa tajiri au maskini, Mwenyezi Mungu anawastahiki zaidi. Basi msifuate matamanio ili mwelekee upande. Na mkiupotosha ushahidi au mkakataa kuutoa, basi hakika Mwenyezi Mungu anazo habari za mnayoyatenda."

Aya hii inasisitiza uadilifu bila kujali uhusiano wa kifamilia au hali ya mtu mwingine.
Imekomea dhulma ya uchaguzi wa jana?
 
Katika Uislamu kinachoangaliwa ni Quran na hadithi za Mtume Muhammad S.A.W na sio matendo ya watu. Ktk uislam anaecheza kamari hata akiwa sheikh hukumu yake motoni. Ingia ktk uislam uone raha

Binaadam wote duniani wanatakiwa wawe waislam. Ambae sie muislamu maisha baada ya kufa yatakuwa magumu kwake

Kama dunia yote tunakiwa tuwe Waislamu......ingekuwa kazi! Fikiria Taliban, Boko Haramu..!
 
View attachment 3164278
Mbunge wa jimbo la kinondoni kupitia CCM Mheshimiwa Talimba Abbas, alitakiwa ahojiwe japo Kidogo asaidie Polisi wajue sehemu ya kuanzia kutokana na kuporomoka kwa Gorofa la kariakoo lililoua Watu 29

Tofauti na kuwa mwanasiasa, Abbas ni mfanyabiashara pia zikiwemo za Michezo ya kubahatisha, pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (SportPesa)

Nina imani kama Serikali ingemhoji angeonesha njia. Angesema nini kilitokea.

Wasiwasi wangu ni kama haki inaweza kutendekea kwa sabababu Abbas ndo Mdhamini Mkuu wa Kampeni za CCM.
Kwani Tarimba ndie mhandisi aliyechora au kujenga ghoroga hilo?
 
Katika Uislamu kinachoangaliwa ni Quran na hadithi za Mtume Muhammad S.A.W na sio matendo ya watu. Ktk uislam anaecheza kamari hata akiwa sheikh hukumu yake motoni. Ingia ktk uislam uone raha
Sasa kama viongozi wa kamari ni hao ndugu zako. Kuna raha gani huko?
 
Qur'an

1. Surah An-Nisa (4:135): "Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimama kwa haki, kuwa mashahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, ijapokuwa dhidi ya nafsi zenu au wazazi wawili na jamaa zenu. Kama akiwa tajiri au maskini, Mwenyezi Mungu anawastahiki zaidi. Basi msifuate matamanio ili mwelekee upande. Na mkiupotosha ushahidi au mkakataa kuutoa, basi hakika Mwenyezi Mungu anazo habari za mnayoyatenda."

Aya hii inasisitiza uadilifu bila kujali uhusiano wa kifamilia au hali ya mtu mwingine.
Mmmh ! 🙏🙏
 
View attachment 3164278
Mbunge wa jimbo la kinondoni kupitia CCM Mheshimiwa Talimba Abbas, alitakiwa ahojiwe japo Kidogo asaidie Polisi wajue sehemu ya kuanzia kutokana na kuporomoka kwa Gorofa la kariakoo lililoua Watu 29

Tofauti na kuwa mwanasiasa, Abbas ni mfanyabiashara pia zikiwemo za Michezo ya kubahatisha, pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (SportPesa)

Nina imani kama Serikali ingemhoji angeonesha njia. Angesema nini kilitokea.

Wasiwasi wangu ni kama haki inaweza kutendekea kwa sabababu Abbas ndo Mdhamini Mkuu wa Kampeni za CCM.
Aiseee sasa wee s dole la mkundu mawazo mafup sana huyo mbunge ange jibu nn wakat mweny gorofa yupo Egnear yupo ndy wakuulizwa na wakamatwe tatzo ss wabongo uwezo wetu wakufkr n mdogo sana
 
Haina haja kumtukana. Yawezekana kaandika kinyume au ni njia ya kumtangaza, na labda wanajuana. Shida tu ametumia jina lake kwa wakati na mahala pabaya pa majanga.
 
JF uwanja mpana pengine limeulizwa swali kimkakati ila unakuta aliyelengwa ndio mwenye jengo.

Bongo kila kitu kinawezekana , kama waliosoma na Bashite wanakiri alipata 0 ila vyeti vya Bashite ukiletewa unaweza kuta vina pass za kutosha.

Failed state .
 
Haina haja kumtukana. Yawezekana kaandika kinyume au ni njia ya kumtangaza, na labda wanajuana. Shida tu ametumia jina lake kwa wakati na mahala pabaya pa majanga.
👍🏻👍🏻👍🏻 Nimejarbu kukuelewa ila kanipandsha Sukar ndyo maana tus limetoka from nowhere
 
Ngoja nikimgumia tarimba nitamuliza ntampiga maswali
Mwenyewe

Ova
 
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini inaitwa Sportpesa daah
 
Back
Top Bottom