Kwanini Talimba Abbas hahojiwi kutokana na Gorofa lililoporomoka na kuua Kariakoo?

View attachment 3164278
Mbunge wa jimbo la kinondoni kupitia CCM Mheshimiwa Talimba Abbas, alitakiwa ahojiwe japo Kidogo asaidie Polisi wajue sehemu ya kuanzia kutokana na kuporomoka kwa Gorofa la kariakoo lililoua Watu 29

Tofauti na kuwa mwanasiasa, Abbas ni mfanyabiashara pia zikiwemo za Michezo ya kubahatisha, pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (SportPesa)

Nina imani kama Serikali ingemhoji angeonesha njia. Angesema nini kilitokea.

Wasiwasi wangu ni kama haki inaweza kutendekea kwa sabababu Abbas ndo Mdhamini Mkuu wa Kampeni za CCM.
 
Attachments

  • IMG-20241124-WA0038.jpg
    IMG-20241124-WA0038.jpg
    49 KB · Views: 1
  • 163192.jpg
    163192.jpg
    47 KB · Views: 1
Watanzania kwakusahau

Juzi juzi Afande aliye waagiza akina Nyundo kumsodoma Binti wa Yombo alipotezwa kilaini kabisa
Sembuse Leo tykoon atajwe hadharani!!

Tumeliwa
Sasa kutaja JF nako kwa jina la uongo na VPN juu nako unahesabu ni kutaja hadharani?
 
View attachment 3164278
Mbunge wa jimbo la kinondoni kupitia CCM Mheshimiwa Talimba Abbas, alitakiwa ahojiwe japo Kidogo asaidie Polisi wajue sehemu ya kuanzia kutokana na kuporomoka kwa Gorofa la kariakoo lililoua Watu 29

Tofauti na kuwa mwanasiasa, Abbas ni mfanyabiashara pia zikiwemo za Michezo ya kubahatisha, pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (SportPesa)

Nina imani kama Serikali ingemhoji angeonesha njia. Angesema nini kilitokea.

Wasiwasi wangu ni kama haki inaweza kutendekea kwa sabababu Abbas ndo Mdhamini Mkuu wa Kampeni za CCM.
Kwa nini ahojiwe? Kwani yeye ndiye mwenye jengo au anahusika na miradi ya uchimbaji inayosemekana kusababisha kuporomoja jengo.
 
Kumekucha tena
 
Kwa nini ahojiwe? Kwani yeye ndiye mwenye jengo au anahusika na miradi ya uchimbaji inayosemekana kusababisha kuporomoja jengo.
Tanzania ni vigumu kuendelea.

Kwa sababu, hao watawala nategemea waendeshe nchi kwa vificho ficho, waseme mambo kwa mafumbo fumbo.

Kwa sababu utawala wao unategemea usiri, unategemea mafumbo, unategema kificho.

Sasa hawa wananchi waliopewa nafasi kuongea mambo bila kificho hapa JF nao kwa nini hawasemi wazi? Kwa nini wanaongea mambo nusunusu? Kwa nini wanaweka habari za mafumbofumbo?
 
View attachment 3164278
Mbunge wa jimbo la kinondoni kupitia CCM Mheshimiwa Talimba Abbas, alitakiwa ahojiwe japo Kidogo asaidie Polisi wajue sehemu ya kuanzia kutokana na kuporomoka kwa Gorofa la kariakoo lililoua Watu 29

Tofauti na kuwa mwanasiasa, Abbas ni mfanyabiashara pia zikiwemo za Michezo ya kubahatisha, pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (SportPesa)

Nina imani kama Serikali ingemhoji angeonesha njia. Angesema nini kilitokea.

Wasiwasi wangu ni kama haki inaweza kutendekea kwa sabababu Abbas ndo Mdhamini Mkuu wa Kampeni za CCM.
ni maumivu makubwa sana kwa wafiwa, lakini, nani wa kulaumiwa hapo? kati ya mmiliki wa jengo na mjenzi? kujenga sio kosa, kosa ni kuendelea na ujenzi wakati raia wapo kwenye site. tuseme abas ndio wa kulaumiwa? au injinia?
 
Sasa si waseme tu huyu ndiye mmiliki wa ghorofa.

Wanaogopa nini?
Hahaha yani waseme tu hadharani, huwajui ccm? Kama kweli ndiye, basi utasikia mmiliki bado anatafutwa, na uchunguzi unaendelea mpaka msahau.

Juzi hapa kuna yule mtu wa Chadema alitekwa akauwawa, kelele zilivyozidi rais alitoka akasema uchunguzi ufanywe na apelekewe, mpaka utaondoka dunia hii hutopata taarifa ya huo uchunguzi.

Hao ndio ccm.
 
Nasema kama mmiliki ni Abbas, hao wanaojua na kuja hapa JF na kusema kimafumbofumbo si waseme.tu Abbas ndiye mmiliki?

Kwa nini wanafumbafumba hata hapa JF ambapo hawajulikani majina yao?
 
Hahaha kwani wewe mgeni JF hii, hili kokoro, linaleta vya kwelu, majungu, uongo, umbea na kila kitu kiko humu.

wanasema kunywa mtori nyama utazikuta chini.
 
Kiranga uelewa wako hukumbuki kesi ya Afande iliyo vuma!!
Mbona Iko wazi mpaka RPC aliachia ngazi!!
Kesi ya afande inahusiana vipi na hoja yangu kwamba Watanzania waache uoga hapa JF wataje mambo wazi bila mafumbo wanaweza kutumia VPN na majina ya bandia?
 
Jibu ni rahisi:
"Huyu ni Mwenzetu"

Nchi hii sasa, kama wewe umo kwenye kundi fulani, unakuwa na sifa ya ziada wasiyo kuwa nayo watu wengine wa kawaida.
Hawa wana maliza mambo yao nje ya taratibu zinazo wahusu raia wengine.

Tuna kundi lisilo ghusika!
 
View attachment 3164278
Mbunge wa jimbo la kinondoni kupitia CCM Mheshimiwa Talimba Abbas, alitakiwa ahojiwe japo Kidogo asaidie Polisi wajue sehemu ya kuanzia kutokana na kuporomoka kwa Gorofa la kariakoo lililoua Watu 29

Tofauti na kuwa mwanasiasa, Abbas ni mfanyabiashara pia zikiwemo za Michezo ya kubahatisha, pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (SportPesa)

Nina imani kama Serikali ingemhoji angeonesha njia. Angesema nini kilitokea.

Wasiwasi wangu ni kama haki inaweza kutendekea kwa sabababu Abbas ndo Mdhamini Mkuu wa Kampeni za CCM.
Quran inasema wazi kamari ni dhambi. Ila wanaongoza kwa kumiliki kampuni za kamari Tanzania ni ndugu zake Malaria 2 . Hadi viongozi wa kazi za kamari nchini ni hao hao. Sasa tuwaelewe vipi? Wataiona pepo kweli hawa?
 
Katika Uislamu kinachoangaliwa ni Quran na hadithi za Mtume Muhammad S.A.W na sio matendo ya watu. Ktk uislam anaecheza kamari hata akiwa sheikh hukumu yake motoni. Ingia ktk uislam uone raha
 
Back
Top Bottom