Kwanini Talimba Abbas hahojiwi kutokana na Gorofa lililoporomoka na kuua Kariakoo?

Kesi ya ngedere kwa nyani.
 
Unanijuwa mm nani? Enzi za JPM angekuwa ndani
 
Kama mmiliki ni kada wa ccm hapo haki haitatendeka. Uwezekano wa wahanga kuhongwa ni mkubwa sana.
 
mara mchaga mara tarimba mara mtoto wa samia. upi ukweli?
yote kwa yote alaaniwe na walaaniwe waroho wa utajiri wasiojali utu
Awe yeyote yule kinachotakiwa je kibali kilitolewa? Kama kipo namna ya kuhakikisha gorofs ya juu iko salama wakati wa kuchimba chini ya jengo ulizingatiwa? Wahandisi wzliokuwa wanasimamia zoezi hilo ndio wa kutafuta. Majengo mengi tu hapo kariakao yameongezewa basement floir chini na yapo salama.
 
Duuh kwa hiyo ndio mwenye jengo au la ndugu, jamaa yake?
Ingekuwa mwenye jengo ni mtu wa kawaida.. ungesikia ametajwa na kila kiongozi pale na kudhalilishwa sana kama yule wa keko wakati wa Lowassa. Nilipoona tu kimya nikajua kuna mkubwa sana anamiliki hilo jengo, kwa hiyo sitashangaa akiwa ndio huyu bwana Tarimba.
 
Watamhoji vipi wakati ghorofa lililoanguka ni Mali ya mtoto wa mama? Na lilianguka baada ya kutaka kuongeza chumba chini ya ardhi licha ya kuzuiwa kufanya Hivyo na timu ya wataalamu wa ujenzi.
Ukisakwa na kuambiwa uthibitishe hayo unayodai utasema unaonewa?Wacha kuropoka kwa kujicha JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…