matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Kuna mtu alisema hata wazungu wakija bara letu nasi twende kwao, ndani ya miaka 10, kule kwao tunapafanya panakuwa kama Africa, na wao Africa wataifanya iwe kama kule kwao!Afrika mpaka kufika hatua walizopo wazungu sasa, kipindi hicho wao watakuwa nje ya dunia.
mnatawali na K sasa kuna kitu hapoTatizo ni ngozi?
Ubongo?
Au tuliumbwa tuwe masikini na Tegemezi?
Maana Sasa hivi DUNIANI Kila rangi inayoamua kuendelea duniani inaendelea tena faster isipokuwa hii nyeusi rangi ya kichawa.
Hata Afrika kusaini inayoonekana kama imefanikiwa lakini waliofanikiwa ni Wazungu tu sio rangi nyeusi.
Jiji la Singapore Mwaka 1960s Wenda ilikuwa inazidiwa na jiji la mzizima lakini walipopata uhuru wakaamua Hadi Sasa ni kama wazungu.
Kuna shinda mahala wakuu.
Ni hilo tu
Matunduizi
Kwa nini bara loote tunakuwa masikini KWA mkupuo na mfululizo miaka zaidi ya 60 Sasa tangu waafrika walipo Anza kujjitegemea.Afrika mpaka kufika hatua walizopo wazungu sasa, kipindi hicho wao watakuwa nje ya dunia.
HatunaTatizo ni ngozi?
Ubongo?
Au tuliumbwa tuwe masikini na Tegemezi?
Maana Sasa hivi DUNIANI Kila rangi inayoamua kuendelea duniani inaendelea tena faster isipokuwa hii nyeusi rangi ya kichawa.
Hata Afrika kusaini inayoonekana kama imefanikiwa lakini waliofanikiwa ni Wazungu tu sio rangi nyeusi.
Jiji la Singapore Mwaka 1960s Wenda ilikuwa inazidiwa na jiji la mzizima lakini walipopata uhuru wakaamua Hadi Sasa ni kama wazungu.
Kuna shinda mahala wakuu.
Ni hilo tu
Matunduizi
Kati ya nchi 54+ hakuna hata moja ambayo imeshindwa kujitutumua iwe miongoni mwa nchi Tajiri duniani. Kama za Ulaya na Asia?Hatuna
- Teknolojia
- Masoko
- Mitaji mikubwa
Wazungu walishare teknolojia yao na Mchina, check China alivyopiga hatua.
Afrika bado tunasafirisha Malighafi, kwenda Ulaya.
Kwasababu teknolojia yao hawajatupa.
Mitaji mikubwa hatuna, na bank zao hazitukopeshi sisi, wanapeana wenyewe ili waje kuwekeza huku.
Lakini pia, malighafi kama madini hatuna kabisa teknolojia ya kuyachimba kwa ukubwa, hatuna teknolojia ya kuyasafisha na pia hatuna masoko ya hayo madini.
Kwahiyo, kwa vyovyote lazima tuwe nyuma mpaka tukiweza kuiba teknolojia na mitaji ya Wazungu.
Kutokana na historia ugumu unaongezeka.Kati ya nchi 54+ hakuna hata moja ambayo imeshindwa kujitutumua iwe miongoni mwa nchi Tajiri duniani. Kama za Ulaya na Asia?
Huwezi kupoteza kitu ambacho hukuwahi kuwa nachoTumepoteza uhalisia wetu, tumepoteza asili yetu na mbaya zaidi tumepoteza kujitambua kwetu.
Cha kufanya Kila mmoja aiibie serikali Kwa namna yoyote Ile mahali popote alipo Kisha kama vipi tukose wote tufanane.Kuna watawala vibaraka, wanaotafuta shortcut.
Mtu anaiba nchini kwake, aningia mikataba ya kikoloni, pesa anaenda kuweka huko huko Ulaya ananunua na majumba Ulaya.
Anaona hana sababu ya kuhangaika kujenga nchi yake, wakati anaiba pesa anaishi Ulaya sehemu ambayo tayari ilishajengwa.