CHANANJA THE BIG DYNASTY
JF-Expert Member
- Sep 14, 2024
- 1,272
- 1,873
Afrika yani sisi weusi kuna vitu vingi sana tumefichwa na hawa weupe hasa TEKNOLOJIA. lakini wa kumlaumu zaidi na zaidi ni MUNGU, kwani ndie ameamua iwe hivi kutunyima maarifa.
Msingi ukiwa mbovuNyerere kaondoka zaidi ya miaka 25 leo why tuko pale pale
Ndo nashangaa huyu anasema diniUAE wengi ni waislamu ila wamepiga hatua.
tafuta basiKwann tusitafute yetu.
Kwani tunamilikiwa na mzungu?
kwa hiyo hhatuna akili wala maarifa? wao waliyapataje kama binadamu wote ni sawa?mzungu amekua mchoyo wakutoa maarifa sahihi.anatufichaficha
Waliamua kuyatafuta.kwa hiyo hhatuna akili wala maarifa? wao waliyapataje kama binadamu wote ni sawa?
Ni kweli dini za islam na ukristo ndiyo shida kwani zimewajengea hofu Waafrika na kutofanya vitu vya kijasiri wakitishiwa kuna moto mbinguniNdo nashangaa huyu anasema dini
Dini anaisingizia
Tabia ya kuwa tegemezi na kitotaka kudadisi mambo kwa kila jambo ndiyo chanzo cha umaskini wenukwa hiyo hhatuna akili wala maarifa? wao waliyapataje kama binadamu wote ni sawa?