SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Ushirikina hii ndio unaharibu uchumi
Wazo ovu.Cha kufanya Kila mmoja aiibie serikali Kwa namna yoyote Ile mahali popote alipo Kisha kama vipi tukose wote tufanane.
Kula nyama nyamaza
Kwani hao wanaoharibu wanaishi wapi Kwa Sasa? Ni humu tu mkuuWazo ovu.
Halafu mtaishi wapi, mkiharibu nchi yenu ya urithi
Afrika haijawahi kujitegemea mkuu.Kwa nini bara loote tunakuwa masikini KWA mkupuo na mfululizo miaka zaidi ya 60 Sasa tangu waafrika walipo Anza kujjitegemea.
Utadhani wote Ubongo umetiwa sumu
Watu wa aina hii maajabu wanapewa airtime kwa hoja zao za kipuuzi, kwa aina hii ya watu ngumu kuendeleaSasa kama japa JF tu kuna mtu kapost uzi eti katumia AI kujua umri wa Elie Mpanzu unafikiri ni wangapi hawawazi maendeleo badala yake wanafanya vitu vya hovyo kabisa... tusipobadilika itachukua muda kuendelea.
Hivi kwa akili kama ya ccm kuna nchi itaendelea?Tatizo ni ngozi?
Ubongo?
Au tuliumbwa tuwe masikini na Tegemezi?
Maana Sasa hivi DUNIANI Kila rangi inayoamua kuendelea duniani inaendelea tena faster isipokuwa hii nyeusi rangi ya kichawa.
Hata Afrika kusaini inayoonekana kama imefanikiwa lakini waliofanikiwa ni Wazungu tu sio rangi nyeusi.
Jiji la Singapore Mwaka 1960s Wenda ilikuwa inazidiwa na jiji la mzizima lakini walipopata uhuru wakaamua Hadi Sasa ni kama wazungu.
Kuna shinda mahala wakuu.
Ni hilo tu
Matunduizi
Tatizo ni ngozi?

Na kukumbatia utamaduni waodini dini dini
Unaisingizia tu ,SA Kuna dini Gani kuledini dini dini
True😂Kuna mtu alisema hata wazungu wakija bara letu nasi twende kwao, ndani ya miaka 10, kule kwao tunapafanya panakuwa kama Africa, na wao Africa wataifanya iwe kama kule kwao!
HatariUshirikina hii ndio unaharibu uchumi
Zimefanyajedini dini dini
Tatizo ni kuwa na viongozi wasio na maono, ubinafsiTatizo ni ngozi?