SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,876
Watanzania ni wajinga akiwemo mm ,
Peter Palangyo aliandika "Dying in the Sun" kwenye African Writers Series. So Tanzania did not miss out.1: Nigeria kulikuwa na Wole Soyinka, Chinua Achebe.
2: Kenya kulikuwa na mtu kama Ngugi wa Thiongo.
3: Uganda kulikuwa na Okot P'Bitek.
Wote hawa waliitwa African writers na vitabu vyao vilisomwa kwenye "english literature" katika nchi nyingi.
Ukiangalia list yote ya "African writers" huoni na kujivunia mtanzania hata mmoja. Tujiulize kwa sababu za ukweli, kwa nini Tanzania hatukupata wala mmoja kwenye hao "African writers"?
Kwa nini tung'ang'anie lugha ya kienyeji?! Isiyotutambulisha kokote?! Inayotufanya kuwa ma bubu once tunapovuka mipaka ya nchi yetu!!!African writer wamechukuliwa wengi walioandika kwa Lugha ya Kiingereza.
Kwetu hapa tunao wengi tu ila lugha waliyotumia ndio haijawatambulisha.
Tatizo lilianzia kwenye chama kilichoitwa TANU ikazaa CCM hawa makanjanja walioifanya Tanzania shamba la bibi kwa kutuweka tuwe wajinga wa kudumu1: Nigeria kulikuwa na Wole Soyinka, Chinua Achebe.
2: Kenya kulikuwa na mtu kama Ngugi wa Thiongo.
3: Uganda kulikuwa na Okot P'Bitek.
Wote hawa waliitwa African writers na vitabu vyao vilisomwa kwenye "english literature" katika nchi nyingi.
Ukiangalia list yote ya "African writers" huoni na kujivunia mtanzania hata mmoja. Tujiulize kwa sababu za ukweli, kwa nini Tanzania hatukupata wala mmoja kwenye hao "African writers"?
Shukran ... Nilitaka nimpe jibu hili. Watanzania tunajishusha mno, mpaka tunatia huruma.Peter Palangyo aliandika "Dying in the Sun" kwenye African Writers Series. So Tanzania did not miss out.
Ndio utambue hatuna wasomi bali wahitimu.
Zile kelele sijui Mimi shule na vyuo changu kipanga ww chako cha kata ni kujifariji.
Unakumbuka ile zain African challenge, watanzania walikuwa wanafanywa nini..!??