Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?


Iko wazi mkuu, muamko umepungua sana kwenye jamii. Ile kunawa mikono na kuvaa barakoa imepungua. Kama wewe ni mfatiliaji na "mzururaji" mzuri utaelewa kile nachomaanisha.

Mimi kuchukua tahadhari zote wakati wengine wanachukulia simple tu bado haitoshi kunihakikishia usalama wangu. Mwanzoni kwenye vituo vya bodea boda ,bajaji na kwenye maduka kulikuwa na ndoo za maji na sabuni, watu walikuwa hawapati huduma bila kunawa mikono. Ila kwa sasa zile ndoo nyingi ukikagua utakuta hazina maji, sabuni hakuna, pia watu hawanawi mikono tena kwea sana kama sharia ili ndio wapate huduma.

Tuliweza kudhibiti huu ugonjwa na kupunguza madhara kwa kuwa mwanzoni tulichukua tahadhari kwa hali ya juu. Na hilo limeleta matokeo chanya ndio maana hadi sasa hali iko vizuri. Ila kwa sasa kuna kujisahau kidogo na kulega lega, kitu ambacho sio kizuri maana ugonjwa bado upo. Msisitizo na uelemishaji uendelee kwa kiwango kile kile kama awali.
 
Mkuu ebu tupe hiyo sheria inayokataza mikutano ya hadhara ya vyama vya Siasa.Hii itasaidia kuachana na hao wapiga kelele
Sasa hiv takriban nchi zote zinazuia shughuli za mikutano nadhani unalitambua hilo mkuu kama mbowe anataka kuitisha mkutano nahisi afanye hivyo baada ya corona kuisha
 
Vipi bado mnataka data?
 
Briefing sio kama hazipo , zipo na wanapatiwa mabeberu huoni kama wametoa mihela juzi, nchi hii ina siri sana
 
IMEKUJA UTI IKO HAPO CONCO ukiipata unakata moto.... Mungu akatupe wepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…