Ukiangalia katika wageni waliohudhuria Hafla ya Kumwapisha Rais, utagundua kuwa hakukuwa na wageni wowote wa maana kwenye shughuli hiyo kutoka kwenye nchi zingine za Afrika, hii inaashiria nini?
Nilitegemea nione viongozi wakubwa wa nchi zinazotuzunguka +SADC kama South Africa, Zambia, Kenya au Ethiopia, so ni Uganda na Zimbabwe tu? Hii ina maanisha nini? Corona?
Ukweli ni kuwa Katika miaka 5 iliyopita, Jiwe hakufanya hivyo, pia hakuwa close kidiplomasia na nchi nyingi za kiafrikaa na Kimataifa pia. Naive minded.
Ukweli ni kuwa Katika miaka 5 iliyopita, JIWE hakufanya hivyo, pia hakuwa close kidiplomasia na nchi nyingi za kiafrikaa na Kimataifa pia. Naive minded.
Dah! Mkuu usidharau watu bwana, Hivi ni mgeni yupi umemuona wewe sio wa maana? Though ulitaka kumaanisha kitu kingine ila yeyote aliyekuja ni wa maana sana.