kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Mkuu hio comment imekaa kukejeli,,,! I know walikuja na situation za nchi zao zikoje!!!!Kwani hujasoma uzi hadi mwisho ametaja kabisa nchi marafiki wa kueleweka siyo hizo ambazo ni utawala wa kidikteta