Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
marafiki wa maaana wanaenda kwa watu wa maana.
Kutongozwa mwishowe hua ni pumb.u inafuata.Tunataka na sisi kutongozwa. Sio kila awamu tunajitongozesha sisi tu. Tulimwaga damu na rasilimali fedha na muda kwa ajili ya nyingi za SADC. Hatupo huko tena.
Hao ni wa maana sana. Usiwe na subjective thoughts. Wamaana ni wapi na ni wamaana kwa nani.Ukiangalia katika wageni waliohudhuria Hafla ya Kumwapisha Rais, utagundua kuwa hakukuwa na wageni wowote wa maana kwenye shughuli hiyo kutoka kwenye nchi zingine za Afrika, hii inaashiria nini?
Nilitegemea nione viongozi wakubwa wa nchi zinazotuzunguka +SADC kama South Africa, Zambia, Kenya au Ethiopia, so ni Uganda na Zimbabwe tu? Hii ina maanisha nini? Corona?
Aise, mtakuwaje maragiki wa kibiashara kama hamtadumisha urafiki wa kawaida?Ni muda ya kuwa makini zaidi na mambo ya ndani. Hatupo tena kwenye ile diplomasia ya Mwalimu JK. Hatuhangaik saana na diplomasia ya uhuasiano tu, just friend No, Economic friend YES. Wao wasije ila wasifunge mipaka. Watumie bandari yetu, energy drinks na juice za SSB na Mo. Wanunue matunda ya Tanga na mifugo ya Wasukuma na Wamaasai.
They are financially stable, hawawez kuja kututongoza, unless tuwakute kiuchumi. Na ni uzembe wetu sisi kama taifa kuzisaidie nchi zipate ukomboze halafu after n number of years watuzidi kiuchumi. Have we lagged behind?Tunataka na sisi kutongozwa. Sio kila awamu tunajitongozesha sisi tu. Tulimwaga damu na rasilimali fedha na muda kwa ajili ya nyingi za SADC. Hatupo huko tena.
Kwa kweli, kuna mmoja hapa kasema kuwa tumesaidia nchi nginyi kupata uhuru lakin hawakumbuki fadhila.Tanzania ni yule kaka aliyewasomesha wadogo zake na watoto wa kijijini kwa taabu na Mshahara wake mdogo wa mwalimu wa upe.... Huwa hawakumbukwi kabisa mkishakuwa Mainjinia. Na wala huwa hawanung'uniki
😂😂😂 Mtu mjinga na mnafiki hawezi kiwa na marafiki wa maanaJana nilimsikiliza Godfrey Monyo akiwa aiport eti anatangaza ujio wa Viongozi mbalimbali wa nchi wanaokuja kuhudhuria kuapishwa kwa Rais, mwisho akaishia kutuonesha tu Waziri Mkuu wa Nkurunzinza