Kwanini Tanzania hatuna Marafiki wa "Maana" hapa Afrika?

Kwani hujasoma uzi hadi mwisho ametaja kabisa nchi marafiki wa kueleweka siyo hizo ambazo ni utawala wa kidikteta
Mkuu hio comment imekaa kukejeli,,,! I know walikuja na situation za nchi zao zikoje!!!!
 
Jana nilimsikiliza Godfrey Monyo akiwa aiport eti anatangaza ujio wa Viongozi mbalimbali wa nchi wanaokuja kuhudhuria kuapishwa kwa Rais, mwisho akaishia kutuonesha tu Waziri Mkuu wa Nkurunzinza
 
Tanzania ndio chuo cha udikteta kilipo, madikteta wote wa afrika mashariki wamewahi ishi au kusoma hapa Tanzania
 
Wewe mwenyewe angalia level ya marafiki zako ndiyo huakisi uwezo wako. Nyerere ndiye Rais aliyekuwa na marafiki hata wenye uchumi mkubwa ingawa yeye alikua anaongoza nchi inayoendelea.
 
Dah! Mkuu usidharau watu bwana, Hivi ni mgeni yupi umemuona wewe sio wa maana? Though ulitaka kumaanisha kitu kingine ila yeyote aliyekuja ni wa maana sana.

Ila hizo nchi ulizotaja zilileta wawakilishi tena wenye positions kubwa au ulikua unamaanisha kwa upande wa Marais tu ?!
Mkuu kwa mfano tu, kikao cha wazazi ni kikao cha wazazi tu, ukimtima mwanao hata akiwa ni mkubwa akakuwakilishe tayar inaondoa maana
 
Wewe maenyewe angalia level ya marafiki zako ndiyo huakisi uwezo wako. Nyerere ndiye Rais aliyekuwa na marafiki hata wenye uchumi mkubwa ingawa yeye alikua anaongoza nchi inayoendelea.
Sure, Imagine nyerere aliweza kumaintain urafiki na Cuba na pia Marekani kwa pamoja, what a leader. Ukiwa kiongozi lazima kiburi ukiweke nyuma.
 
Walokuja pale ndio tunafanana harakati za kujikwamua coz we share the same history.
 
Tza ndio chuo cha udikteta kilipo, madikteta wote wa afrika mashariki wamewahi ishi au kusoma hapa tz
Kinda Real, either UD au Makerere lakin sio wote, ujue kuwa walikuwa wanakuja Bongo koz kulikuwa na amani na diplomacia, na pia ni rahisi kusikia ya nyumbni kwao Eg Africa ya kati
 
Kwa sababu tuna rais wa hovyo
Hajawahi kutokea rais akapendwa na watu/raia wote..waliwahi kutokea Kina George Washington,Abraham Lincoln kina John Kennedy huko ni America walikuwa ni vipenzi vya watu ...na walichukiwa na watu..na hata Africa,Ulaya na Mashariki ya Mbali...huwezi kupendwa na wote....japo ita-depend unapendwa na wengi au wachache hata Yesu Kristo hakupendwa na watu wote ...mpaka akachapwa na mijeredi..
 
Mfano Kenyata angekuja wewe kiroba chako cha unga kingeozeka?

Mambo mengine kuhoji ni ujinga tu.
 
Mi nimeshangaa
nilidhani Kagame angeongozana na Kagutta kumbe hollaa
Yule mdogo wake Nkurunzinza pia sikumuona
Ila Ramaphosa atakuja weekend hii nadhani
 
Sherehe imefana sana,
Wageni mhimu sana wamehudhuria,
Huwezi kuona wageni wa maana kama "ni yeye" Kalala chumbani kwake akiangalia TBC kitu ambacho hukutegemea!

Ni yeye hajashinda Uraisi na hatafanya hivyo.
 
Naielewa hii kuwa Katika miaka mitano (5) iliyopita, Jiwe hakuwa karibu na wengine pia kidiplomasia halikuwa mbali sana na nchi nyingi za kiafrika na Kimataifa pia hapo unaweza kupata picha.
 
Mi nimeshangaa
nilidhani Kagame angeongozana na Kagutta kumbe hollaa
Yule mdogo wake Nkurunzinza pia sikumuona
Ila Ramaphosa atakuja weekend hii nadhani
Kagame amesha tuacha na ushamba wetu.
 
Kwani mwizi huwa anatembelewa?
 
Tanzania ni yule kaka aliyewasomesha wadogo zake na watoto wa kijijini kwa taabu na Mshahara wake mdogo wa mwalimu wa upe.... Huwa hawakumbukwi kabisa mkishakuwa Mainjinia. Na wala huwa hawanung'uniki
 
Principle of reciprocity iko kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…