Kwanini Tanzania hatuna Marafiki wa "Maana" hapa Afrika?

Ni muda ya kuwa makini zaidi na mambo ya ndani. Hatupo tena kwenye ile diplomasia ya Mwalimu JK. Hatuhangaik saana na diplomasia ya uhuasiano tu, just friend No, Economic friend YES. Wao wasije ila wasifunge mipaka. Watumie bandari yetu, energy drinks na juice za SSB na Mo. Wanunue matunda ya Tanga na mifugo ya Wasukuma na Wamaasai.
 
Unavyo pima wewe sivyo anavyo pima mwingine umaana wa rafiki.
 
Tupo giza zito 7bu mpuuzi mmoja anaeshiba kiburi na ukaidi. The fact he is no longer friendly person like his former
 
Tunataka na sisi kutongozwa. Sio kila awamu tunajitongozesha sisi tu. Tulimwaga damu na rasilimali fedha na muda kwa ajili ya nyingi za SADC. Hatupo huko tena.
 
Tunataka na sisi kutongozwa. Sio kila awamu tunajitongozesha sisi tu. Tulimwaga damu na rasilimali fedha na muda kwa ajili ya nyingi za SADC. Hatupo huko tena.
Kutongozwa mwishowe hua ni pumb.u inafuata.

Careful what you wish for.
 
Haijawahi tokea mwenye akili akawa na urafiki na asiye na akili
 
Marafiki wa maana manake nini, fafanua. Halafu na korona hii nchi nyingi zimejifungia
 
Marafiki wa maana manake nini, fafanua. Halafu na korona hii nchi nyingi zimejifungia
Kwa kiswahili rahisi, Viongozi wakubwa wa nchi kubwa.
 
Kutongozwa mwishowe hua ni pumb.u inafuata.

Careful what you wish for.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkui upo serious kweli, imebd nicheke kwanza
 
Hao ni wa maana sana. Usiwe na subjective thoughts. Wamaana ni wapi na ni wamaana kwa nani.
 
Aise, mtakuwaje maragiki wa kibiashara kama hamtadumisha urafiki wa kawaida?
 
Tunataka na sisi kutongozwa. Sio kila awamu tunajitongozesha sisi tu. Tulimwaga damu na rasilimali fedha na muda kwa ajili ya nyingi za SADC. Hatupo huko tena.
They are financially stable, hawawez kuja kututongoza, unless tuwakute kiuchumi. Na ni uzembe wetu sisi kama taifa kuzisaidie nchi zipate ukomboze halafu after n number of years watuzidi kiuchumi. Have we lagged behind?
 
Tanzania ni yule kaka aliyewasomesha wadogo zake na watoto wa kijijini kwa taabu na Mshahara wake mdogo wa mwalimu wa upe.... Huwa hawakumbukwi kabisa mkishakuwa Mainjinia. Na wala huwa hawanung'uniki
Kwa kweli, kuna mmoja hapa kasema kuwa tumesaidia nchi nginyi kupata uhuru lakin hawakumbuki fadhila.
 
Jana nilimsikiliza Godfrey Monyo akiwa aiport eti anatangaza ujio wa Viongozi mbalimbali wa nchi wanaokuja kuhudhuria kuapishwa kwa Rais, mwisho akaishia kutuonesha tu Waziri Mkuu wa Nkurunzinza
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mtu mjinga na mnafiki hawezi kiwa na marafiki wa maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…