For sure, naskia pia jirani hapa 254 wanamwona jamaa kama mental flani hiviWewe unaweza kukubali kuwa na rafiki ambae ni thug au ambae ni kibaka au ambae ni moron?ndiyo maana nchi za maana za Afrika zimekaa mbali,ni hazitaki matatizo na huyu mental case
Wangekuja kwa ndege, gari na wengine kwa reli 😉Mkuu sasa wangekujaje viongozi wote aise.
Watakujaje kama hawakualikwa?Ukiangalia katika wageni waliohudhuria Hafla ya Kumwapisha Rais, utagundua kuwa hakukuwa na wageni wowote wa maana kwenye shughuli hiyo kutoka kwenye nchi zingine za Afrika, hii inaashiria nini?
Nilitegemea nione viongozi wakubwa wa nchi zinazotuzunguka +SADC kama South Africa, Zambia, Kenya au Ethiopia, so ni Uganda na Zimbabwe tu? Hii ina maanisha nini? Corona?
Mkuu sasa wangekujaje viongozi wote aise.