Comments tu za waTanzania humu zinaonyesha tayari wanejikatia tamaa na hawaamini kama kijana wa miaka 30 au chini kuwa bilionea, we unafikiri atatokea?
Huyu Blord naona ana pesa kweli, kawekeza kwenye tech, ana Apps kama 4 zinaingiza pesa, kama hio jetpay ni masuala ya miamala, hivyo kuna faida anapata kila mtu anapofanya muamala japo sijafuatiklia deep.
Hizi mambo kuna yule kijana mTanzania alikuja na App inaitwa Nala, sasa hivi NALA headquarter ipo Nairobi Kenya, ndio ujue Tanzania ina u$3nge kiasi gani...
Kama huyo jamaa wa NALA tayari angekuwa supported na serikali alikuwa ni bilionea mkubwa tu.
Vijana wanapiga harakati online hadi leo serikali wameshindwa kuwezesha paypal ifanye kazi Tanzania.
Internet ya Elon ile starlink imefika Nigeria hadi Kenya lakinj hii mizee yenye roho mbaya haitaki starlink ifike Tz, mizee isiyojua chochote kuhusu dunia ilipo inaziba mirija yote kwa vijana kuwa matajiri na kunufaika.
Vijana wenye akili na ideas kuwa billionaires wapo tatizo ni hawa vikongwe walioshikilia mpini, wachawi sana.
Wanataka kuona kila siku vijana wakiendesha boda, kufanya kazi za vibarua wa ujenzi, kazi za viwandani , ualimu, jeshini n.k...
Kama unataka kutimiza malengo, hii nchi si ya kuishi.
Shit hole kabisa.