Kwanini Tanzania hatuna self made young & rich, black people, kama kina blord, mompha, na e-money wa kule Nigeria?

Kwanini Tanzania hatuna self made young & rich, black people, kama kina blord, mompha, na e-money wa kule Nigeria?

hakuna asiye pinga Hilo, ila sio sawa na kina tony faddel au Wozniak mzee.
Yeye mwenyewe Alisha kiri
Steve Wozniak alikuwa akifanya kazi kiwanda cha HP alikuwa deep sana kuifahamu PC, Steve Jobs alikuwa na interests na masuala ya tech na electronics, hivyo aliweza vyema kutoa ideas na kuzisimamia ili engineers wazitekeleze.
 
Steve Wozniak alikuwa akifanya kazi kiwanda cha HP alikuwa deep sana kuifahamu PC, Steve Jobs alikuwa na interests na masuala ya tech na electronics, hivyo aliweza vyema kutoa ideas na kuzisimamia ili engineers wazitekeleze.
sija elewa Ume taka kupinga au kuweka point of correction mkuu??
 
Kuna documentary inaitwa The triumph of the nerds,angalia Bill Gates,Steve Jobs,Na Steve Wozniak walivyoanza na kusimamisha kampuni zao Hadi zilipo Sasa..Jobs mtaalumu wa masuala ya umeme na kapiga sana kazi kiwandani
Jobs alikuwa mkali wa user experience, wakali wa engineering na electronics walikuwa Steve wozniak na wengineo.
Unaweza kuwa engineer na usitoe best product.
Jobs alikuwa na kipaji cha upekee katika ubunifu, ndio chanzo leo Apple imefika pale.
Just imagine miaka ile anafikiria kuweka mouse kwenye computer n.k alii introduce vitu vingi ambavyo hakuna mtu alikuwa na ides hizo kipindi kile, ni ideas zake kichwani ambazo hakuziona popote, kile ni kipaji.
 
Dogo vyuma kama huyo blord viko vingi sana hapa bongo. Tembea masaki, panda juu pale 1245, utaona madogo vibopa tu. Watu wana maduka yanauza nguo kutoka bongo kwenda worldwide. Watu wana pesa dogo. Toka hapo kuangalia instagram come outside bro. Once kuna mchongo niliuweka humu wakuleta. Dollar bongo ni ngumu.
Vijana wa pesa ya blord ni wengiiii saaaana bongo wengi achana tu sehemu za starehe wapo ndani wametulia.
Hapo ulipo hujawahi ona hata sehemu bongo watu wana package iphones hizi au samsung.
Dogo mtandaoni utaona wachache. On grind wapo wengi dogo.
Something else blord alikua yahoo. Unajua yahoo. Fatilia vizuri huko kwenye. Kumi mmoja lazma awe tajiri lakutupa alafu anabadrsha mchongo. Blord is ammoung.

Kaanza kuflash life recently not more than 3 years. Sasa kawekeza. Ila bongo wapo dogo wengi..
Kkoo tu. Hiyo pesa watoto wadogo wa 24-25. College graduates wanaishika.
Wanafunga makontena ya nguo na. Viatu. Dogo. Toka huko ndani. Achana na instagram.
Ila tu nikwbie. Life ain't easy bro. Life ain't easy out here to make so much money hasa Bongo. Ila wapo waliofanikiwa tena wengi dogo.
 
Ingawa ninapinga kujilinganisha na hao matapeli wa kinaijeria ila ni kweli Tanzania bado ni ngumu kijana mdogo kushika hela nyingi tofauti na majirani. Pale Lusaka kuna dogo wa miaka 24 ni milionea mkubwa. Mwingine yuko Copperbelt under 30 ni milionea mkubwa. Huku bongo Vunjabei na umri juu ya miaka 30 ndo kelele nyingi kuwa ni milionea mtoto. Tatizo ni ujamaa. Tanzania inawezekana hata serikali isiwe na shida nawe ila ndo ile kijana anaanza kuinuka ndo mwanzo wa shangazi kumeza shoka... ukoo mzima unaanza kumlilia shida na kumfilisi.
 
Habarini

Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani unaona kabisa huyu mtu hafeki life, haya ndo maisha yake halisi, efcc kule Nigeria kuna kipindi walimkamata, ila baadae walimuachia.

Hapa Tanzania kuna kina chief godlove (nahisi hana hela nyingi kihivyo anazoclaim anazo) na sirjeff Dennis (huyu tayari chali), Patrick ngowi (sahivi chali) dj ally b (asset yake nahisi ni nyumba 1 ya ghorofa ambayo inasemekana amepanga, na magari ambayo huenda ni ya kukodi ), don shafiney (hela zake marinjirinji)

Ina maana hapa Tanzania hakuna celebrity entrepreneur kijana ambaye ni self made mwenye networth walau ya $1 million usd hata mmoja, wanaijeria wametuzidi wapi?

Hata kwenye list ya matajiri top 10 Tanzania hamna mweusi hata mmoja, alikuepo Mengi ndo huyo alishafariki

Picha za huyo blord hapa chini ambae anampango wa kutumia $216,000 (300 million naira kujenga kanisa)

View attachment 2979854View attachment 2979855
Young billionaires!!?

Taifa letu halikuandaliwa Kwa mzawa kuwa don!!

Kasome kitabu Cha Reginald Mengi utaelewa!!

Au nenda ka google who owns Tanzania !halafu jiulize mwenyewe tofauti ya Deni la nchi na deni la taifa!!

Kuna mmatumbi Gani anaweza ruhusiwa na dola akope fedha benki za nje Kwa dhamana ya nchi Ili apanue mradi wake!!?

Ukianza kuibuka TU unajikuta kama Rama was kariakoo!!!

Tuna mifumo ya kijinga sana!Nitarekebisha nikiingia!!!Mtanzania mwenye kampuni atumie dhamana ya nchi kukopa Ili kuendeleza miradi yake inayozalisha ajira Kwa watz!mmatumbi alindwe kizalendo ili mtaji wake uongezeke na sio kupigwa pin Hadi apotee !!

Hasta sisi wamatumbi tuwemo kwenye list ya top ten ya matajiri bongo na sio wale wenye asili ya Asia pekee!!!

Kuna tatizo mahali,serikali isiogope mzawa kumiliki utajiri enzi za Nyerere zimeshapita zipo enzi zetu ndio hizi!!
 
Back
Top Bottom