Kwanini Tanzania hatuna self made young & rich, black people, kama kina blord, mompha, na e-money wa kule Nigeria?

Wewe umefika Wapi? Mali za urithi na kwenu MPO 15 mtashikiana mapanga km wale watoto wa kariakoo waliokua wanagombea jengo la ghorofa 9 na Imamu wa Msikiti
Hahaha, Mimi ni jobless pro max mkuu.
But trust me or not, Mimi ni kiumbe mwingine kabisa mkuu.
 
Taja ana app gani ya kubet hio jetpay ni ya kubet?
Natoa mfano mzee, sifahamu ana miamala kiasi gani kwa siku, lakini tech industry nahisi ndio industry ina pesa kuliko zote.
YouTube walianzisha vijana wadogo tu kina Chad Hurley, akiwa na miaka 28 tu hapo 2005, 2006 wakaiuza na wenzie kwa google kwa kiasi cha dola bilioni 1.65 ambayo ni sawa na dola bilioni 2.31 kwa mwaka 2024.

Sasa unashangaa nini? Mark Zuckerberg katengeneza facebook akiwa na miak 19 tu, leo hii ni multi biliion company.

Walioanzisha google kina Larry Page na Surgey Brin, huyo Larry Page alikuwa na miaka 25 tu.
Sreve Jobs wanatengeneza Apple computer akiwa na miaka 21.

Elon Musk alianzisha kampuni yake ya kwanza masuala ya tech akiwa na miaka 24.

Bill Gate alikuwa ni mchawi wa programming akiwa na umri wa miaka 20.

Hao wote walikuwa kwenye tech industry.

Sasa unashangaa nini kwa huyo kijana wa miaka 26 kutoka Nigeria akiwa tajiri?

Acha akili zisizo na maana, watu wanazaliwa na talent, sio kisa wewe una miaka 40+ hujawa milionea ndipo ufikiri kijana wa miaka 20 atashindwa.

Akili zako na ile mizee serikalini iliyochoka akili hadi miili hamtofautiani, kijana akipata pesa ni mwizi, sasa na wewe si uwe mwizi? Uone kama hizo pesa utazipata.
 
Habarini

Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani unaona kabisa huyu mtu hafeki life, haya ndo maisha yake halisi, efcc kule Nigeria kuna kipindi walimkamata, ila baadae walimuachia.

Hapa Tanzania kuna kina chief godlove (nahisi hana hela nyingi kihivyo anazoclaim anazo) na sirjeff Dennis (huyu tayari chali), Patrick ngowi (sahivi chali) dj ally b (asset yake nahisi ni nyumba 1 ya ghorofa ambayo inasemekana amepanga, na magari ambayo huenda ni ya kukodi ), don shafiney (hela zake marinjirinji)

Ina maana hapa Tanzania hakuna celebrity entrepreneur kijana ambaye ni self made mwenye networth walau ya $1 million usd hata mmoja, wanaijeria wametuzidi wapi?

Hata kwenye list ya matajiri top 10 Tanzania hamna mweusi hata mmoja, alikuepo Mengi ndo huyo alishafariki

Picha za huyo blord hapa chini ambae anampango wa kutumia $216,000 (300 million naira kujenga kanisa)

View attachment 2979854View attachment 2979855
Kwanza jiulize kwanini yule jamaa wa NALA alihamisha kampuni yake Tanzania akaipeleka Kenya?
 
Mbona huko mbali sana mkuu, tuje tu hapa Africa.

Watu Kama kina sir jf tz, yvete ishimwe wa Rwanda.
Chinedu azodoh (tech)
Dr Oliver owishema mbona ni wakali na wame toboa tu.
 
Wapo wengi tu, Tanzania ni nchi ya 10 kwa mamilionea wengi Africa
 
B
,
Unataka kusema Mmiliki wa GasFasta ni billionaire wa Bongo? Mmiliki wa FundiUjenzi ni billionaire wa Bongo? Maana apps zote hizo zinaingiza Pesa km unataka kusema apps za Pesa zinalipa niambie ukwasi wa Mmiliki wa app za Bolt na Uber maana hizo apps zinaingiza Pesa balaa Ila hukuti wamiliki wakijitangaza wanajenga makanisa sijui upuuzi gani
Boss hujamuelewa ndugu hapo juu,mfano Mzuri Maxmalipo,wakati ipo Millennium tower mwaka 2013 nilikua pale,Mmiliki anaitwa Jumanne, Jamaa kapiga Billions za kutosha tu..
 
ume sema na kusikika vyema comrade, hii nchi uki zipata za kutosha ni kusepa tu.
Jamaa kaongea na kupiga mule mule
Tz wachawi sana wa maendeleo
Wanasiasa wanaona mtu akiendelea basi anachukua nchi
Kitu wasichokijua ni kwamba sio wote tunapenda siasa
Diaspora wamepiga vita haswa
Post #11 kamaliza kila kitu kama tukiangalia upande mwingine
 
B

Boss hujamuelewa ndugu hapo juu,mfano Mzuri Maxmalipo,wakati ipo Millennium tower mwaka 2013 nilikua pale,Mmiliki anaitwa Jumanne, Jamaa kapiga Billions za kutosha tu..
Najua sasa hivi bwana MaxMalipo yupo wapi?
 
Mifumo migumu Elimu, na unyonyaji /ubinafs
 
Kam JPM alifungia account zenye Billion moja tuu and you your talking about usd 1million

Utajir wa vijn mcc wanaona kam tishio kwao
 
Habarini

Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani unaona kabisa huyu mtu hafeki life, haya ndo maisha yake halisi, efcc kule Nigeria kuna kipindi walimkamata, ila baadae walimuachia.

Hapa Tanzania kuna kina chief godlove (nahisi hana hela nyingi kihivyo anazoclaim anazo) na sirjeff Dennis (huyu tayari chali), Patrick ngowi (sahivi chali) dj ally b (asset yake nahisi ni nyumba 1 ya ghorofa ambayo inasemekana amepanga, na magari ambayo huenda ni ya kukodi ), don shafiney (hela zake marinjirinji)

Ina maana hapa Tanzania hakuna celebrity entrepreneur kijana ambaye ni self made mwenye networth walau ya $1 million usd hata mmoja, wanaijeria wametuzidi wapi?

Hata kwenye list ya matajiri top 10 Tanzania hamna mweusi hata mmoja, alikuepo Mengi ndo huyo alishafariki

Picha za huyo blord hapa chini ambae anampango wa kutumia $216,000 (300 million naira kujenga kanisa)

View attachment 2979854View attachment 2979855
sanaa tupu...hawa ndio wa hela za forex
 
Iba na wewe ukamatwe Bongo sio Naijeria wapo wanaijeria wanaishi BUNJU Ila janjajanja za kwao hawafanyii hapa wanaishia kua machinga tu wanauzia madela wakina Mama mitaani
Tunaongelea kujiendeleza zaidi na kufika mbali
Mimi siwezi kuiba
Umemuona huyu mdosi wa bongo amebuni hiyo mita ya maji akipata tenda kaula
Screenshot_20240503_191257_Instagram~2.png
 
Sasa unashangaa nini kwa huyo kijana wa miaka 26 kutoka Nigeria akiwa tajiri?
Ushachanganya madesa nitakugonga maswali ambayo hautaweza kuyajibu maana kule juu umeandika kingine na huku chini unaandika kingine uzidi kupuyanga tu, huyo SIO programmer na hajui chochote kuhusu tech yeye anatafuta idea anatafuta developer wanadesign app ili apige Pesa umesema mwenyewe hii statement kule juu sasa unamfananisha vipi na hao developer's wa tangu na tangu una akili wewe? Huyo ni Mwizi TU wanaijeria wengi ni vibaka mtandaoni wanaiba sana hao mamwehu usiwafananishe na Steve Jobs yaan hawamfikii hakuna wa kumfikia Steve Jobs Nigeria hata huyo blord hamsogelei Steve Jobs hata robo copy na paste ideas unasema ni developer eti tech fyokofyoko kawa billionaire, waongopewe hao hao ukiweza leta valid source ya maelezo yako with reference aminifu sio udaku
 
Tanzania Kuna urasimu zaidi ya unavyojua, kizungumkuti,
Hapa Si misheria imekaa juu chini kila mtu anataka ale humo humo wasengerema wakiona fursa na wao wanataka waponee humo humo kwa mgongo wa Serikali

Kuna washenzi hawafanyi kazi Ila wanalipwa Mshahara wako kazi kukuza vitambi tu
 
Back
Top Bottom