Kwanini Tanzania hatuna self made young & rich, black people, kama kina blord, mompha, na e-money wa kule Nigeria?

Unaongelea vijana gani mbona wapo wengi tu. Kina diamond, harmonize, vunja bei, Sunderland, zuchu, vijana wengi tu wanahuo utajiri wa 1 usd million..
hujaelewa mada pia hao wote uliowataja ni njaa kali ikifika uchaguzi ndo utaelewa Vunjabei alitaka Nafasi gani sijui wajumbe wakamkataa....Mtoa mada anaongelea vijana waliojitafuta sio hawa wanaotegemea Sirikali
 
Unaongelea vijana gani mbona wapo wengi tu. Kina diamond, harmonize, vunja bei, Sunderland, zuchu, vijana wengi tu wanahuo utajiri wa 1 usd million..
Zuchu ana utajiri wa 1 million usd😁😂🙌 embu kuwa serious mkuu 😁 kwenye hiyo list yak,o labda vunjabei ndo mwenye io networth ya $1 million Usd , na diamond, Sunderland simjui covid 19
 
Shilingi 2 mara 100000 ni laki mbili sio milioni mia mbili
 
Utakuta ni vigogo walioko serikalini, ama uwekezaji wa wageni, ama ni kampuni kubwa yenye hisa nyingi za watu.

Lakinj pia kuna watu wapo low profile ndio maisha yao.

Lakini utajiri na kutajirika kupitia fursa mbali mbali inawezekana tatizo ni vikongwe waliopo serikalini ambao wamechoka wakisubiri kifo wanakunywa dawa za pressure na kisukari na hawataki kuona vijana wanakuwa billionaires.

Ni hatari kwao katika kupoteza ushawishi kiutawala, pesa inapelekea kujitambua, kupata elimu bora, kuwa huru, kuhoji n.k..

Haitakiwi vijana watajirike waache waendelee kuwa boda huku wajukuu na wanao zao wakisoma oxford n.k...
 
Vijana wetu wamepangana wanauza vocha na miamala kwa mtaji usiokuwa na wala hawawazi kufika mbali

Miaka nenda rudi unawakuta palepale
Nafikiri ni udumavu tu wa akili maana kuna watu wanajua na kupanga kuwa baada ya miaka kadhaa atakuwa amefika malengo flani
 
Mompha tajiri wa bureur de exchange mompha in dubai, kashika pesa zaman wanamuita money man.
 
Na kinachouma zaidi wanabadilishiwa wizara tu kila iingiapo serikali mpya


Yana mwisho lakini
 
Iba na wewe ukamatwe Bongo sio Naijeria wapo wanaijeria wanaishi BUNJU Ila janjajanja za kwao hawafanyii hapa wanaishia kua machinga tu wanauzia madela wakina Mama mitaani
 
Hiki ndo huwa nasema, Malengo ni kitu Cha lazima na Yana paswa yawe makubwa.
Ili hata uki shindwa kuwa jua, una weza kuwa nyota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…