Kwanini Tanzania hatuna self made young & rich, black people, kama kina blord, mompha, na e-money wa kule Nigeria?

Hapa Si misheria imekaa juu chini kila mtu anataka ale humo humo wasengerema wakiona fursa na wao wanataka waponee humo humo kwa mgongo wa Serikali

Kuna washenzi hawafanyi kazi Ila wanalipwa Mshahara wako kazi kukuza vitambi tu
Serikali haijali,umasikini wetu ndio utajiri wao.
 
katika vitu ambavyo sivi pendi na nili onywa na mentor wangu ni siasa.
ali nambia balance mzani wako, USI jifanye mjuaji au urafiki nao.
 
Tunaongelea kujiendeleza zaidi na kufika mbali
Mimi siwezi kuiba
Umemuona huyu mdosi wa bongo amebuni hiyo mita ya maji akipata tenda kaula View attachment 2980050
Kuna Jamaa nilimuona clouds tv miaka kama mitano nyuma,alibuni mfumo ambao ukinunua umeme units zinaongezeka hapo hapo bila kuingiza token kwenye meter,anasema kawasiliana na tanesko wanampuuza,

Akajaribu palepale kununua umeme,ukaingia,Hadi Leo yuko wapi??jambo zuri la kurahisisha maisha wao hawataki
 
Nani kamfananisha huyo dogo wa Nigeria na Steve Jobs, mbona unakuwa na akili kama za watoto wa primary, nimeongelea kina Steve kwa sababu kukupa mfano kwamba vijana wanaweza, pia mtu anaweza tajirika hata katika umri mdogo tu.

Haijalishi kama we ni programmer au unaajiri, Programmer wa nini, App kama hizo kutetengeza usifikiri ni kama kujitawaza uingiapo chooni, hio App ina frontend hapo ni developer mmoja au team, kuna backend hao ni developer wengine, kuna UI design huyo ni mwingine, kuna kulipia web services, API n.k kwenye companies kama Azure, Amazon web services au google cloud n.k, achilia hapo, kuna namna ya kufanya management ya App, kama updates, kurekebisha errors, hata M-pesa huwa kuna kipindi wanafanya marekebisho hao ni developers wote unawalipa, au unafikiri App ni makalio kila mtu anaweza kuwa nayo?
Bado hujaajiri customer care kwa ajili ya App, hujachukua office, internet bills, computers kwa ajili ya wafanya kazi n.k

Na wewe nikuulize swali.
Kwanini fundi ujenzi wanajenga mijengo ya kifahari halafu wao wanaishi kwenye nyumba za kawaida au pengine wamepanga hawana hata kiwanja, kama yeye anajenga jumba la kifahari na maarifa anayo kwa nini asijitengenezee aishi?

We ni mjinga kweli...
 
yaani we Jamaa una zidi kudhirisha ni empty kabisa 😁😂😂.
Sasa jobs Ali tengeneza kipi kwa mikono yake?!!.

Yeye Ali kuwa ana kuja na wazo au idea, Kisha watu ndo Wana ifanya.
Watu Kama kina (Steve Wozniak). UNa mjua kwanza😁
Au tony faddel
.
Steve Ali jua kuja na ideas Kisha kuwa hamasisha tech guys wazi fanyie kazi.
Bali pia ubunifu Ali kuwa nao.

Hayo huyo dogo ana tofauti gani na Steve ??, Tena kina Steve Wali kuwa na mazingira mazuri ya kazi.
Na hata support kutoka kwa watu, tofauti na Huku africa
 
Serikali haijali,umasikini wetu ndio utajiri wao.
Wabongo wengi SIO Serikali TU wabongo wengi hio IPO kwenye damu wabongo wengi hawapendi wenzao watoboe kimaendeleo zaidi watakuwekea vikwazo, yaan wabongo ni kauzibe kila sehemu kila idara ni kuzibiana tu na kutiana umasikini yaan kuna mtu wewe akikuona unateseka na umasikini anafurahia sana
 
Huyo kolonyani wenu kutoka Nigeria usimfananishe na Steve Jobs kiapp chenyewe alichobuni hakipo World Wide kimebase Nigeria tu na wanaompaisha ni wanaigeria tu unamfananisha vipi na Zuckerberg mwenye FB inayopiga kazi Dunia nzima, Steve Jobs alianza kazi na Bill Gates baadae wakatemana Macintosh na Microsoft Windows Gates aliacha Chuo Zuckerberg aliacha Chuo Steve aliacha Chuo haya huyo kolonyani wenu aliacha Chuo wapi?
 
kumbe kuacha chuo ni sifa 🤣 😁, halafu we SI uli pinga pale juu Eti jobs mkali.
Sasa tume kupa reason una badilisha mada Tena??!.

Halafu mazingira ya kazi Kwa Africa na ulaya una yaelewa kweli??.
Support kwa Ngozi nyeusi ni ngumu, so mtu ukiona katoboa lazima u salute mzee.

Angalia Kama kina Maxence Melo wanavyo banwa mbavu kibongo bongo.
Mara ndani, Mara toa kitu fulani
Una fikiri huyo mark Zuckerberg ange weza hizo pigo???
 
Mkuu, sio kila app ina utajiri, huwezi kulinganisha app za udaku kama za kina Mange na app muhimu za miamala ya pesa, bitcoins, n.k.

Hakuna mwekezaji anaeweza kuja hapa bongo kuwekeza app ya udaku.
 
Kuna documentary inaitwa The triumph of the nerds,angalia Bill Gates,Steve Jobs,Na Steve Wozniak walivyoanza na kusimamisha kampuni zao Hadi zilipo Sasa..Jobs mtaalumu wa masuala ya umeme na kapiga sana kazi kiwandani
 
Kuna documentary inaitwa The triumph of the nerds,angalia Bill Gates,Steve Jobs,Na Steve Wozniak walivyoanza na kusimamisha kampuni zao Hadi zilipo Sasa..Jobs mtaalumu wa masuala ya umeme na kapiga sana kazi kiwandani
hakuna asiye pinga Hilo, ila sio sawa na kina tony faddel au Wozniak mzee.
Yeye mwenyewe Alisha kiri
 
Diamond platinum
 
Wanataka kuwa taifa masikini ili wao wazidi kujinufaisha
Pambaneni tu na ubunifu hasa kwenye technology
 
mimi hapa soon.
 
Aibe, apore, ataperi bado dogo no kichwa.
Hiyo ni dream life ya vijana wengi, na sidhani kama kuna kijana wa kutaka life hilo halafu aone uchochoro wa kutusua nae avimbe afu avunge tu kindezi.
Shida ni kua hamna uthubutu, tumejengewa woga, hofu na bonge la lijiukuta la fikra mfu.

Tz bado tuna zile mentality za ujamaa, sio viongozi sio wananchi wote ni janga. Viongozi ndo janga kuu likifuatiwa na watz wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…