100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Steve Wozniak alikuwa akifanya kazi kiwanda cha HP alikuwa deep sana kuifahamu PC, Steve Jobs alikuwa na interests na masuala ya tech na electronics, hivyo aliweza vyema kutoa ideas na kuzisimamia ili engineers wazitekeleze.hakuna asiye pinga Hilo, ila sio sawa na kina tony faddel au Wozniak mzee.
Yeye mwenyewe Alisha kiri
sija elewa Ume taka kupinga au kuweka point of correction mkuu??Steve Wozniak alikuwa akifanya kazi kiwanda cha HP alikuwa deep sana kuifahamu PC, Steve Jobs alikuwa na interests na masuala ya tech na electronics, hivyo aliweza vyema kutoa ideas na kuzisimamia ili engineers wazitekeleze.
Umeelezea vyema, nlikuwa najazia nyama tu.sija elewa Ume taka kupinga au kuweka point of correction mkuu??
Uko sahihi mkuu, Sasa watu Wana jua vitu juu juu .Umeelezea vyema, nlikuwa najazia nyama tu.
Kwa sehemu kubwa Steve Jobs sio kwamba alikuwa best engineer, bali alikuwa mkali wa kutoa ideas na kfanyiwa utekelezaji.
Jobs alikuwa mkali wa user experience, wakali wa engineering na electronics walikuwa Steve wozniak na wengineo.Kuna documentary inaitwa The triumph of the nerds,angalia Bill Gates,Steve Jobs,Na Steve Wozniak walivyoanza na kusimamisha kampuni zao Hadi zilipo Sasa..Jobs mtaalumu wa masuala ya umeme na kapiga sana kazi kiwandani
Upo negative kwa kila kitu, shida nin ?Ndio anawapiga na huko km Nala au SIO?
Negative IPI?Upo negative kwa kila kitu, shida nin ?
Young billionaires!!?Habarini
Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani unaona kabisa huyu mtu hafeki life, haya ndo maisha yake halisi, efcc kule Nigeria kuna kipindi walimkamata, ila baadae walimuachia.
Hapa Tanzania kuna kina chief godlove (nahisi hana hela nyingi kihivyo anazoclaim anazo) na sirjeff Dennis (huyu tayari chali), Patrick ngowi (sahivi chali) dj ally b (asset yake nahisi ni nyumba 1 ya ghorofa ambayo inasemekana amepanga, na magari ambayo huenda ni ya kukodi ), don shafiney (hela zake marinjirinji)
Ina maana hapa Tanzania hakuna celebrity entrepreneur kijana ambaye ni self made mwenye networth walau ya $1 million usd hata mmoja, wanaijeria wametuzidi wapi?
Hata kwenye list ya matajiri top 10 Tanzania hamna mweusi hata mmoja, alikuepo Mengi ndo huyo alishafariki
Picha za huyo blord hapa chini ambae anampango wa kutumia $216,000 (300 million naira kujenga kanisa)
View attachment 2979854View attachment 2979855