Kemondo stand ipo wapi/ sehemu gani hapa Mwanza mjini?. Kuna wakati huwa natamani kukaa mjini nipoteze masaa lkn naishia kutembea tembea tu.
Kwa uoga huu acha wakongwe wa CCM wazipige bei tu, hamna namnaNani kakwambia hazikuwekwa?
Ziliwekwa wandewa wanakapita nazo!
Chezea wakongwe wa mcc wewe
Open spaces ziwekwe na mgambo wa majiji wafanye kazi yao.
ZengweTrue. Tanga ilibidi iwe zaidi ya Dsm kimaendeleo. Yani cjui ilikwamishwa na nn tokea miaka iyo ya nyuma asee.
Kinondoni,mwananyamala zilikuwepo nyingi ccm wamezigawa nyingi na kuwapa watu wafanye biashara magereji nk...hawa jamaa maeneo mengi ya wazi walijimilijisha kama mali ya chamaZnz zipo za kutosha
o mKwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
Kwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
Ile ya posta dsm ni nini,ile ya Dodoma Nyerere square ni nini?Kwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?