Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Open space zipo. Kila Mkoa, ulizia wenyejiKwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
Manzese waliweka open space karibu na stend, MASHEIKH wakaona ndio sehemu ya kukachifu dini nyingine, wasijue kwamba YESU ametajwa Mara nyingi katika Koran kuliko mtume Mohammed SAW. Lkn pia mama yake Yesu ametajwa ktk Quran kuliko mwanamke mwingine.Kwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
Hawa watu wenye msimamo mkali kama FaizaFoxy huwa changamoto sana sometimes.Manzese waliweka open space karibu na stend, MASHEIKH wakaona ndio sehemu ya kukachifu dini nyingine, wasijue kwamba YESU ametajwa Mara nyingi katika Koran kuliko mtume Mohammed SAW. Lkn pia mama yake Yesu ametajwa ktk Quran kuliko mwanamke mwingine.
Pigia mistari hili jibuZilikuwepo wakauza.
Kwa dar zipo kadhaa kama pale nbc posta, mwembe yanga, magomeni garden.Kwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
Wabongo nuksi open space yenye garden nzuri hawachelewi kuanza kunya ovyo na kuchafua mazingiraUstaarabu 0
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa bongo zitageuzwa madangulo labda wawek kikomo mwisho saa 12 jion
Maan huku mitaan viwanja vya mpira na mashulen usiku ni fuvkgni place
Pale muhimbili tu ilibidi wafukuzwe na ipigwe marufuku, sehemu nzuri ya kupumzika watu wanakuja kikundi kama kikundi cha ngoma, wanataka washinde wamejilaza hapo tangu asubuhi wanasubiria jioni wakamuone mgonjwa mmoja....haijakaa kistaarabu kabisaWabongo nuksi open space yenye garden nzuri hawachelewi kuanza kunya ovyo na kuchafua mazingira
Hivi hawa watu wa aina hii wanakuwa hawana kazi za kufanya au?!Pale muhimbili tu ilibidi wafukuzwe na ipigwe marufuku, sehemu nzuri ya kupumzika watu wanakuja kikundi kama kikundi cha ngoma, wanataka washinde wamejilaza hapo tangu asubuhi wanasubiria jioni wakamuone mgonjwa mmoja....haijakaa kistaarabu kabisa
Utashangaa kama kuna seat pale za kupumzika wamachinga washafika wapenga viatu na nyanya, na chupiKwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
Ni hawana kazi, wangekua na kazi wasingepata huo muda wa kushinda hospital tangu asubuhi tena kundi la watu wengi.....Hivi hawa watu wa aina hii wanakuwa hawana kazi za kufanya au?!
True. Tanga ilibidi iwe zaidi ya Dsm kimaendeleo. Yani cjui ilikwamishwa na nn tokea miaka iyo ya nyuma asee.Tanga usiifananishe na miji ya kijinga jinga,.Tanga ni jiji lililopangiliwa.
Kwa Tz mkoa wenye open spaces nyingi nadhani ni Tanga. Tena zile zilizopangiliwa sio localDeep sea, kona ya Toyota, Raskazone beach, njia panda ya Chumbageni, Mbele ya Tanesco kama unaenda Shule ya mkwakwani, Raskazone kwenye Bomba la maji machafu zipo nyingi mno zaidi ya 3
Uyo ndo mtu mweusi. Hajaumbiwa ustaarabu kwa kwel.Mambo ni vanga vanga, mtu akiamua anafungua kanisa nyumbani kwake, hapo hapo kuna vigodoro na kibanda umiza mara genge ukivuka nyumba ya pili kuna guest bubu ni mvurugiko tu
Kuna open garden inaitwa forodhani pale Tanga. Mchana ni sehemu ya watu kupumzka, ucku ni danguro, watu wanakulana kwny hvyo vikochi vya zege, unafika asubuhi mida ya saa 4 unapoa zako unakutana na likondom hapo. Dahh tokea nilivokutana na hii hali sikuwa natimba tena ile garden ya forodhan.sehemu kama forodhani ...i wish iwepo mbeya
kuna upuuzi mwingi sana Tz