Kwanini Tanzania hatuweki open spaces za watu kupumzika katikati ya miji?

Kwanini Tanzania hatuweki open spaces za watu kupumzika katikati ya miji?

Open spaces zilikuwapo hadi mwanzoni mwa miaka ya themanini lakini baada ya watu kuanza tabia ya kupenda kubananabanana wakaamua kujenga au kufungua biashara kwenye maeneo yote yaliyokuwa wazi. Kwa mfano hapo Dar es Salaam sehemu hizi nilizowekea rangi zilikuwa ni open spaces. Ninaweza kutoa mifano kwa miji mningine kama Tabora, Morogoro, Mwanza, na Shinyanga ambako sehemu zilizokuwa open spaces, zilishajengwa majumba.


1729171800047.png

1729171929816.png


1729172111924.png
 
Yani jiji la dar liko ovyo mno, kuna hao waliouza maeneo ya wazi na pia kuna wakuitwa machinga ni janga huko masokoni tu wamejazana wao hadi sehemu za wateja kusimama kununua bidhaa wapo wao, hizo opening space watakuja na vitoroli vyao wajazane, ila jiji hili tunaishi kwa mateso sana
Kumbe unaish daslam
Wow, nitunzie mke wangu siku utashangaa msafara wa vx 1000 nikimuijia.
 
malizana nae si umwambie kama ulivyoniambia mimi saa zile mpk ukanipa pole..😅
We umeona msafara huo wa vx 1000!! Ushauza mtu huko wewe kwani sikujui ndo maana ukanitimua nihame kumbe una agenda zako
 
We umeona msafara huo wa vx 1000!! Ushauza mtu huko wewe kwani sikujui ndo maana ukanitimua nihame kumbe una agenda zako
by the way mi mwenyewe natafuta mchumba vipi unae mimi ntakuja na range rovers 10000!
 
TZ nchi ya kipumbavu sana. Watu wa mipango miji sijui wanasomea ujinga huko shuleni hakuna sehemu hata moja imepangika hii nchi.

Coco beach ilikua a public beach leo pamejengwa hadi baharini kabisa.

Mbeya lilikuwepo eneo la wazi karibu na uwanja wa sokoine leo limekua soko.

New York kuna central park. Chicago kuna Lake shore drive haya ni maeneo ya wazi katikati kabisa ya miji na hamna mtu anagusa ila bongo wakiona uwazi tu ni kuweka frame, club, kanisa au msikiti. Nchi ya kipumbavu sana hii.
 
Kwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
Labda malengo yetu ni kupumzika mbinguni🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom