Kwanini Tanzania hatuweki open spaces za watu kupumzika katikati ya miji?

Kwanini Tanzania hatuweki open spaces za watu kupumzika katikati ya miji?

Kariakoo yenyewe full kelele , anzia karume hadi mnazi ni vipaza kila hatua, wasichofahamu kama mtu anataka kitu atakuja tu kununua bila hata makelele
 
Kariakoo yenyewe full kelele , anzia karume hadi mnazi ni vipaza kila hatua, wasichofahamu kama mtu anataka kitu atakuja tu kununua bila hata makelele
Kwanza palipo na hivyo vispika huwa siendi kununua
 
Mambo ni vanga vanga, mtu akiamua anafungua kanisa nyumbani kwake, hapo hapo kuna vigodoro na kibanda umiza mara genge ukivuka nyumba ya pili kuna guest bubu ni mvurugiko tu
leo ndo mnajua tukijadili haya mambo humu mnasema tunaingilia uhuru wa watu!.
makanisa yamejaa mitaani kelele mtindo mmoja,majalala kila mahali tuna jamii ambayo haijastaarabika!
 
leo ndo mnajua tukijadili haya mambo humu mnasema tunaingilia uhuru wa watu!.
makanisa yamejaa mitaani kelele mtindo mmoja,majalala kila mahali tuna jamii ambayo haijastaarabika!
Ni wapi ulijadili nikasema mnaingilia uhuru ? Hebu jishikilie
 
Hizi ndio fikirishi za kufanyiwa kazi ila kila mtu sasa hv
IMG-20241007-WA0000.jpg
naimba
 
Kwa viongozi waroho wanaouza hadi open space wajenge magorofa , dar , mbeya , mwanza, Arusha kulitakiwa kuwepo na bustani za watu kupumzika ambazo zina mandhari nzuri yenye kueleweka na sio iwe moja mfano Dar kigamboni , Tabatha, mbezi, kote kila watu walipaswa wawe na bustani zao na kwa mkoa wenye joto kama Dar kunakua na bwawa la kuogelea kabisa wananchi wawe wanaoingia bure wanaondoa misongo yao ya mawaza
Kwa DSM Kuna nyingine cloud's radio walijifanya kuziendeleza ila ni siku Nyingi sijajua mikataba hewa uliishia wapi!?
 
Kwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
Hao watu wa kupumzika wenyewe watoke wapi wakati watu wanatembea mpaka usiku wa manane pamoja na kukesha kwenye night club, haijulikani ni weekend wala siku za kazi.
 
Back
Top Bottom