Kwanini Tanzania isiombe kuingia mkataba na DRC ili kuwaondoa waasi wa M23 ?

Kwanini Tanzania isiombe kuingia mkataba na DRC ili kuwaondoa waasi wa M23 ?

Ni kama ambavyo Rwanda ameingia makubaliano na msumbiji ili kulinda amani pale kwao kwa makubaliano ya makampuni ya kinyarwanda kunufaika zaidi kibiashara.
Congo ni kubwa jinga.

Lazima na Congo inanufaika na hao wahuni, maana inafadhili FDRL.

Congo ni tajiri mkubwa wa madini, inashindwa nini kukodi wahuni (mercenaries) wakasambaritishe hao M23??
 
Ni kama ambavyo Rwanda ameingia makubaliano na msumbiji ili kulinda amani pale kwao kwa makubaliano ya makampuni ya kinyarwanda kunufaika zaidi kibiashara.
Jeshi la Tz sio kwaajili ya vita huku ni kwaajili ya Kamshahara + posho pesa ya vinywaji nyama choma na nyagi mwisho kulinda chama mambo ya vita waachie wenyew
 
Amani ya Tanzania inalindwa kwa kila namna,ukiomba kulinda amani DR CONGO manake unakaribisha hao waasi kuingia nchini, sisi kama nchi, tuingie huko kwa mgongo wa EAC majeshi ya tanzania ndo yaingie huko.
Tuko vizuri kivita tuna polisi wa kutosha na makomandoo wenye uwezo mkubwa pia tuna magari ya kutosha ya washawasha
 
Huo mgogoro sio kama ule wa Comoro ya Kanali Bakari.

Kupigana na M23 ni hatari sana na kunaweza kutuingiza kwenye matatizo, tunaweza kupoteza askari au nasisi kuwa tunapigwa ambush kwenye mipaka huko Kanda ya ziwa.
 
Back
Top Bottom