Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana simuelewi huyu jamaa akisema Tz ndo waende kule wakapigane na M23M23 ni proxy moja matata sana sitaki kusema mengi ila mpaka watz wamo humo humo huwezi kuelewa kirahisi rahisi
Tatizo lako unafikiri m23 ni kikundi cha panya rodi, hilo ni jeshi kamili na wana silaha za maana za kivita na kila siku wako field wanaijua vita kwenye sura halisiHuyo kagame mwenyewe anaiogopa Tz ndyo maana huishia kutoa maneno ya vijembe tu
Unarahisisha mambo sioWazo zuri. Sijui tunafeli wapi??? Kwanza ingeboost ajira kishenzi hapa nchini. Unaweza ukatengeneza Tena jeshi la vijana 300,000 hadi 500,000 kwa ajili ya Congo TU. Unaingia mkataba kulipwa kwa madini au mazao ya misitu kama mbao. Then unauza nje.
Yaani kama nchi hatuko strategically kabisa kabisa.
Wenzio wanauza manpower huko kwenye majeshi ya Ukraine, urusi. North Korea wapo Urusi walilipwa Michele sijui ngano.... Wagner through Russia wapo nchi kibao za Africa...Unarahisisha mambo sio
Akili huna mzee unatafuta vita na France sio yaani njaa zako ukaponee congo eti endelea kuiingiza Chaka nchi mfaransa aipoteze unafikiri m23 ni vibakaWenzio wanauza manpower huko kwenye majeshi ya Ukraine, urusi. North Korea wapo Urusi walilipwa Michele sijui ngano.... Wagner through Russia wapo nchi kibao za Africa...
Hamna kurahisisha, congo imeoza ile lakini katika uozo huo na Tanganyika inaweza ikaponea hapo hapo. Tatizo la ajira si unaliona na unalijua.!???
Nigeria waliwatumia Mercenaries, mbona Boko Haram waliisoma namba..Congo ni kubwa jinga.
Lazima na Congo inanufaika na hao wahuni, maana inafadhili FDRL.
Congo ni tajiri mkubwa wa madini, inashindwa nini kukodi wahuni (mercenaries) wakasambaritishe hao M23??
Unadhani haijawahi kukodi mercenaries?Congo ni tajiri mkubwa wa madini, inashindwa nini kukodi wahuni (mercenaries) wakasambaritishe hao M23??
Wacongo wengi hawajitambui,walishawagawa na hawako kitu kimoja.Sio rahisi kuwasaidia.Ni kama ambavyo Rwanda ameingia makubaliano na msumbiji ili kulinda amani pale kwao kwa makubaliano ya makampuni ya kinyarwanda kunufaika zaidi kibiashara.
eti magari ya washawasha,Tuko vizuri kivita tuna polisi wa kutosha na makomandoo wenye uwezo mkubwa pia tuna magari ya kutosha ya washawasha
Wamekaa kula bata tu Kinshasa ila kulinda mipaka haaa...Wale Kila mtu ana maslahi yake binafsi
Mission ikifanywa na wakuu wa hizi nchi mbili tu hakuna mtu atajua kwamba Tz ndyo wamehusika kusambaratisha M23. Ni akili tuAkili huna mzee unatafuta vita na France sio yaani njaa zako ukaponee congo eti endelea kuiingiza Chaka nchi mfaransa aipoteze unafikiri m23 ni vibaka