Kwanini Tanzania isiombe kuingia mkataba na DRC ili kuwaondoa waasi wa M23 ?

Kwanini Tanzania isiombe kuingia mkataba na DRC ili kuwaondoa waasi wa M23 ?

Wazo zuri. Sijui tunafeli wapi??? Kwanza ingeboost ajira kishenzi hapa nchini. Unaweza ukatengeneza Tena jeshi la vijana 300,000 hadi 500,000 kwa ajili ya Congo TU. Unaingia mkataba kulipwa kwa madini au mazao ya misitu kama mbao. Then unauza nje.
Yaani kama nchi hatuko strategically kabisa kabisa.
Wewe ndyo umenielewa maana yangu👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom