Kwanini Tanzania isiombe kuingia mkataba na DRC ili kuwaondoa waasi wa M23 ?

Itapendeza zaidi Amiri Jeshi Mkuu akatumia nafasi yake na kuongoza kikosi kazi frontline. Waasi watakimbia wote.

1737808820424.png
 
Viongozi (marais) wa kanda hii...
Ni machoko na ni makomaa....

Ni Wafilist.. wapumbavu
 
KIJANA UKIWA UNAULIZA MPAKA MASWALI RAHISI NA YA KAWAIDA HIVI. UNAFANYA TUANZE KUHOJI LEVEL YAKO YA ELIMU PLUS UMRI!!.

KWAKUKUSAIDIA UNATAKIWA UFANYE HII ASSIGNMENT NAKUPA;

📌RUDI USOME CHANZO CHA MGOGORO WA DRC NA MAKUNDI YA WAASI.
📌 UKIMALIZA UJUE M23 NI AKINA NANI???!!
📌 UKIMALIZA UJUE NA WAFADHILI WA HAYO MAKUNDI YA WAASI.

# SUBMIT HIYO ASSIGNMENT HAPA BY SAA MBILI KAMILI USIKU WA LEO.
 
We naona unaleta stori za zilipendwa sio siku m23 wakiingiaa ya nitakuja kufufua huu uzi
Achana na kipindi Cha jk, kagame mpaka kesho anaichukia Tz kwa mchango wake kijeshi pale goma. Sema Tanzania akienda kwa mwamvuli wa UN au EAC anakuwa under control ndyo maana ishu ya kuwaondoa M23 inakuwa ngum
 
Mzee embu acha ujinga hapa m23 wanadhaminiwa mpaka na France ndio mjinga kama wewe tanzania upeleke kijeshi chako kikawatoe unaleta utani eti
 
Unataka tujitwishe majukumu makubwa wakati tu hapa nyumbani Nchi inaharibiwa na majambazi wa chama kinachofanana na majani ya bangi.Tuikomboe kwanza Nchi yetu ndiyo tujitwishe hayo ya DRC
 
Pamoja na hayo ila Mimi binafsi naona kama jeshi la Congo haliko well organized kwa mapambano yoyote kwasababu Kila shambulizi linaloanzishwa na vikindi vya waasi jeshi lazima chali
 
Jeshi kwenye siasa Tena? Unataka wapindue nchi?
 
Pamoja na hayo ila Mimi binafsi naona kama jeshi la Congo haliko well organized kwa mapambano yoyote kwasababu Kila shambulizi linaloanzishwa na vikindi vya waasi jeshi lazima chali
Mwambie amiri jeshi wako atangaze vita dhidi ya hao m23 ndio utajua hujui unafikili wale ni vibaka wa kibiti
 
Back
Top Bottom