Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?

Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?

Aibu sana kama Taifa.

Ni hayo tu.

Pang Fung Mi.
 
Aibu sana kama Taifa

Ni hayo tu

Pang Fung Mi

Pascal una wito wenu huku!
 
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Yes litajengwa
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Ule ni utaratibu wa kizamani, sasa umepitwa na wakati. Ujio wa social media, umefungua milango ya uandishi wa habari na utangazaji, sasa kila mtu ni mwandishi wa habari na mtangazaji, hao ndio wanaopendwa na soko.
Aibu sana kama Taifa

Ni hayo tu

Pang Fung Mi
Sio aibu, huu ndio ukweli wetu!.
P
 
Hili ni moja ya janga la utandawazi na sector binafsi. Mfano Mimi nina media yangu ninatafuta watangazaji na papo hapo lengo langu ni kupata faida, unafikiri nitajali hivyo vyeti au uwezo wa mtangazaji kuniletea maokoto?
 
Yes litajengwa

Ule ni utaratibu wa kizamani, sasa umepitwa na wakati. Ujio wa social media, umefungua milango ya uandishi wa habari na utangazaji, sasa kila mtu ni mwandishi wa habari na mtangazaji, hao ndio wanaopendwa na soko.

Sio aibu, huu ndio ukweli wetu!.
P
Daah enzi zenu na legends kama Samadu Hassan sasa hivi hamna tena
 
Yes litajengwa

Ule ni utaratibu wa kizamani, sasa umepitwa na wakati. Ujio wa social media, umefungua milango ya uandishi wa habari na utangazaji, sasa kila mtu ni mwandishi wa habari na mtangazaji, hao ndio wanaopendwa na soko.

Sio aibu, huu ndio ukweli wetu!.
P
Mkuu with all due respect napingana na wewe hili.Chombo chochote serious cha habari kinahitaji competent journalists wenye kuweza kuhoji na kuelimisha na kuhabarisha jamii.
Huwezi kuajiriwa kwenye chombo chochote cha maana duniani kama hujasomea uandishi wa habari.Chukua Kenya kama mfano.
Kunaweza kuwa na social medias lakini hazina weledi,uwezo wa kutimiza mhimili wake wenyewe kwenye Nchi.
Tanzania kuna vacuum ya waandishi wa habari serious na, waliosoma vilivyo kwenye janja hii.
Ndio sababu hayati Mzee Mkapa aliwahi kusema Tanzania haina waandishi wa habari worth the name.
Mimi binafsi siwezi kuwalinganisha wewe na kanjanja kama Kitenge au Baba,Levo
hampo sawa kwenye functions za Uandishi wa habari Journalism ina ethics zake unazofundishwa chuoni.
 
Hata ukiwaleta, trends zime shift hakuna watu wa kusikiliza serious things!. Mimi mwenyewe japo kwa sasa ni age go, mara moja moja bado nafanya serious programs, kama hii J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake
hakuna watu wanaangalia!, tumepitwa na wakati.
P
Haujapitwa na wakati bali ume focus kwenye wrong audience.Tumeruhusu ujinga, uzushi na umbeya kuwa habari. Badilisha focus yako soko lipo lakini inabidi ulitafute.
 
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?

Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?

Aibu sana kama Taifa.

Ni hayo tu.

Pang Fung Mi.
Sababu wananchi pia ni vilaza
 
Tanzania ndiyo nini, nchi km nchi inahusika vp ktk ajira za watu
 
Back
Top Bottom