Von Dee
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 349
- 601
Mkalimani nayeye kapita mulemule ππYaani wewe utachomwa motooooo hadi ukufwe tena ππππππππππ
Mkalimani naye kachemsha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkalimani nayeye kapita mulemule ππYaani wewe utachomwa motooooo hadi ukufwe tena ππππππππππ
Mkalimani naye kachemsha
We una kipaji ganiHivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Aibu sana kama Taifa.
Ni hayo tu.
Pang Fung Mi.
Tunataka uchambuzi wa mpira tu, habari tupa kule.Hii mada ni sensitive sana ila utaona inakosa wachangiaji wengi!
Kwa mtizamo wangu walaji (wasikilizaji/watazamaji) wa bidhaa ndio kimekuwa chanzo cha hili tatizo.
Kwani Kitenge hajasoma kabisa?Eti mtu bogus kama kitenge nae ni head of department ya sport hapo wcb!