Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

"Ebwana ishu ya mjini ni kujuana na siyo kujua tena" by Zee la Nyeti - Gazeti la Mwananchi, toleo la miaka ya nyuma sana.
 
Hili ni moja ya janga la utandawazi na sector binafsi. Mfano Mimi nina media yangu ninatafuta watangazaji na papo hapo lengo langu ni kupata faida, unafikiri nitajali hivyo vyeti au uwezo wa mtangazaji kuniletea maokoto?
Nchi ndo ime-tufelisha, kama nchi ingesimamia msingi yake na sheria ikatungwa usingemuona mtu ambaye si mwana habari akikoroma kwenye chombo chochote cha habari. Kama ilivyo kwa Madaktari, manesi, walimu (inakuja) wanasheria, engineers, pharmacists, Kn nk. Mbona ulaya wameweza?
 
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?

Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?

Aibu sana kama Taifa.

Ni hayo tu.

Pang Fung Mi.
Wewe una akili gani kubwa uweke cv yako uendeshe tasnia ya habari nchini...uache dharau anzisha chombo chako cha habari uiajiri familia yako nyambaff! Kwamba kina Dr Ryoba wanaoipigia makofi serikali bila kujali imekatwa kichwa au mkia ndo wenye ueledi ?
 
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?

Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?

Aibu sana kama Taifa.

Ni hayo tu.

Pang Fung Mi.
Pang naona hapo umewalamba sarakasi ya maana,na hofu watakuundia genge humu.
 
Hiyo Tansia ilibariw na clouse , mtu kama anakipaji kam umempa kaz lazm asome sio wao wanapajuka payuka tuu
 
Ukisikiliza vipindi vya FM Radios kuanzia saa nne asubuhi Kila radio hadi za baadhi za dini na mkongwe TBCCM Kuna watangazaji wa kike wanaongea upuuzi mtupu na kucheka cheka bila kuwacha kuwataja mama wazazi wao
Sikiliza Clouds na Magic ujue nasema nini muda huo.
 
Tas
Yes litajengwa

Ule ni utaratibu wa kizamani, sasa umepitwa na wakati. Ujio wa social media, umefungua milango ya uandishi wa habari na utangazaji, sasa kila mtu ni mwandishi wa habari na mtangazaji, hao ndio wanaopendwa na soko.

Sio aibu, huu ndio ukweli wetu!.
Ukitaka ujue hii tasnia ya habari kuvamiwa ni kuona Wanahabari nguli wamekimbia news room na wajikita kufanya mambo tofauti moja yapo ni kuwa machawa mfano Ayoub Rioba sasa hivi kawa mlamba viatu na wala sio mkosoaji tena. Jukwaa na Wahariri ndio wala rushwa wakubwa hawana kitu chochote. Angalia wenzetu akina Michael Hanna yupo field na anapiga kazi. Huku studio wamejaa wapuuzi wakubwa akina Eddo Kumwembe, dereva taksi Zomboko nae napewa kipindi, akina JoseMara nae ni mwandishi. Hii tasnia imesex vibaya sana akina Mayala wanaangalia tu.
 
Back
Top Bottom