Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Aibu sana kama Taifa
Ni hayo tu
Pang Fung Mi
Yes litajengwaHivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule ni utaratibu wa kizamani, sasa umepitwa na wakati. Ujio wa social media, umefungua milango ya uandishi wa habari na utangazaji, sasa kila mtu ni mwandishi wa habari na mtangazaji, hao ndio wanaopendwa na soko.Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Sio aibu, huu ndio ukweli wetu!.Aibu sana kama Taifa
Ni hayo tu
Pang Fung Mi
Hili ni moja ya janga la utandawazi na sector binafsi. Mfano Mimi nina media yangu ninatafuta watangazaji na papo hapo lengo langu ni kupata faida, unafikiri nitajali hivyo vyeti au uwezo wa mtangazaji kuniletea maokoto?Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Aibu sana kama Taifa
Ni hayo tu
Pang Fung Mi
1Hii mada ni sensitive sana ila utaona inakosa wachangiaji wengi!
Kwa mtizamo wangu walaji (wasikilizaji/watazamaji) wa bidhaa ndio kimekuwa chanzo cha hili tatizo.
Daah enzi zenu na legends kama Samadu Hassan sasa hivi hamna tenaYes litajengwa
Ule ni utaratibu wa kizamani, sasa umepitwa na wakati. Ujio wa social media, umefungua milango ya uandishi wa habari na utangazaji, sasa kila mtu ni mwandishi wa habari na mtangazaji, hao ndio wanaopendwa na soko.
Sio aibu, huu ndio ukweli wetu!.
P
Hata ukiwaleta, trends zime shift hakuna watu wa kusikiliza serious things!. Mimi mwenyewe japo kwa sasa ni age go, mara moja moja bado nafanya serious programs, kama hii J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge WakeDaah enzi zenu na legends kama Samadu Hassan sasa hivi hamna tena
Mkuu with all due respect napingana na wewe hili.Chombo chochote serious cha habari kinahitaji competent journalists wenye kuweza kuhoji na kuelimisha na kuhabarisha jamii.Yes litajengwa
Ule ni utaratibu wa kizamani, sasa umepitwa na wakati. Ujio wa social media, umefungua milango ya uandishi wa habari na utangazaji, sasa kila mtu ni mwandishi wa habari na mtangazaji, hao ndio wanaopendwa na soko.
Sio aibu, huu ndio ukweli wetu!.
P
Haujapitwa na wakati bali ume focus kwenye wrong audience.Tumeruhusu ujinga, uzushi na umbeya kuwa habari. Badilisha focus yako soko lipo lakini inabidi ulitafute.Hata ukiwaleta, trends zime shift hakuna watu wa kusikiliza serious things!. Mimi mwenyewe japo kwa sasa ni age go, mara moja moja bado nafanya serious programs, kama hii J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake
hakuna watu wanaangalia!, tumepitwa na wakati.
P
Sababu wananchi pia ni vilazaHivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Aibu sana kama Taifa.
Ni hayo tu.
Pang Fung Mi.
Tanzania ndiyo nini, nchi km nchi inahusika vp ktk ajira za watuHivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Aibu sana kama Taifa.
Ni hayo tu.
Pang Fung Mi.