Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

Yaani wewe utachomwa motooooo hadi ukufwe tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkalimani naye kachemsha
Mkalimani nayeye kapita mulemule πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We una kipaji gani
 
Hii mada ni sensitive sana ila utaona inakosa wachangiaji wengi!
Kwa mtizamo wangu walaji (wasikilizaji/watazamaji) wa bidhaa ndio kimekuwa chanzo cha hili tatizo.
Tunataka uchambuzi wa mpira tu, habari tupa kule.
 
Eti mtu bogus kama kitenge nae ni head of department ya sport hapo wcb!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…