Kwanini Tanzania Masikini? Masaa mawili tunamsubiri Naibu Waziri Mkuu Biteko apite

Salaam Wakuu,

Tangu nizaliwe, nilikuwa nasikia Viongozi wanaleta Foleni.

Nipo huku Shinyanga, tumesimamishwa masaa mawili sasa tukisubiri Dotto Biteko apite.

Ng'ombe wangu watafika mnadani saa ngapi? Hasara tayari. Mikopo ya Vikoba itanitoa roho.

Viongizi wa Tanzania jitafakarini
View attachment 2856647
View attachment 2856642View attachment 2856643View attachment 2856644View attachment 2856645View attachment 2856646
Ni shidaaa !
Wanasemaga hayo ni masuala ya Usalama !!
Lakini two hours hiyo sio sawa bandugu !!
 
Salaam Wakuu,

Tangu nizaliwe, nilikuwa nasikia Viongozi wanaleta Foleni.

Nipo huku Shinyanga, tumesimamishwa masaa mawili sasa tukisubiri Dotto Biteko apite.

Ng'ombe wangu watafika mnadani saa ngapi? Hasara tayari. Mikopo ya Vikoba itanitoa roho.

Viongizi wa Tanzania jitafakarini
View attachment 2856647
View attachment 2856642View attachment 2856643View attachment 2856644View attachment 2856645View attachment 2856646
Hii sio sawa kabisa, wanaoratibu hii misafara wakumbuke na raia wengine watumiaji wa barabara.
 
Back
Top Bottom