Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Wapi mtoa mada kasema anataka kila mtu awe mfugaji?Unatak kila mtu awe mfugaji kama wewe...
Kila biashara ina chanagamoto zake,
Kweli kabisaWakati mwingine mazingira yanacchangia, ufugaji unahitaji eneo la kufugia, Sasa huyu kijana kama amepanga mjini na hana plot huko mjini, ni changamoto sana kufuga.
Hapana nimeuliza tu swali I'm curiousUnatak kila mtu awe mfugaji kama wewe...
Kila biashara ina chanagamoto zake,
umeibua changamoto nzito na ya maana sana gentleman,Mwanzoni sikuwa na exposure kabisa niliamini Frame ndio njia pekee ya kupata ukwasi, vijana wamefata mkumbo huo huo kijana ana mtaji wa million 5 anaenda kulipia Frame 1.5M per year anafatilia vibali laki 5 yote inaisha huko bado hajafanya decoration dukani mwisho anabaki na million 2.5 baada ya mwaka anafunga duka anaondoka?
Ukizunguka maeneo mengi hapa daresalam unakutana na duka mwaka huu wanauza nguo mwakani wanauza kitu kingine atleast yale maduka ya mangi yanaweza kutoboa hata miaka 5.
Mwanzo nilikuwa sijui kwamba hata kwenye ufugaji wa kuku unaweza kujenga nyumba na kupata premio, huko kwenye ufugaji nimeona watu wakipata some cash ambayo inawasaidia naona hawakimbizani na TRA na mlolongo wa tozo.
Kwanini watu bado tunakimbilia uchumi wa Frame? Je ni identity au ni nini?
Hapo nimekuelewa.Watu wanataka hela ya kila siku ili kuendeshea maisha yao sasa mtu anaona kufuga hadi aje aanze kupata faida itabidi asubiri mwaka hadi miaka miwili...
Hapana sijawaingiza mkenge, najaribu ku explore tu ufugaji sio lazima broiler kuna kuku wa kienyeji nimeenda sehemu nimekuta mtu anauza kuku 50 after 3 months pia anauza vifaranga vya kienyeji wa mwezi mmoja 5000, kwa broiler sijajua sana lakini kuna mahali nilikuepo nikawa naona biashara ya Mayai hata ukiwa na tray 50 zinachukuliwa zote pia it seems ni biashara nzuriKuku gani mkuu broiler??
Acha kudanganya umma. Usiwaingize watu mkenge kaka. Dhambi ulizonazo zinatosha usitake kuziongeza kwa kuwaingiza watu mkenge
πππUfugaji unaujua au unausikia,ulishawahi amka ukakuta vifaranga vyote vimekufa.
Anyway to each their own.
Fulsa ndio nini?mimi naona ni uvivu wa kutafta fulsa tofauti tofauti wanaona kitu rahisi kwap ni maduka ya nguo