Mkuu upo ?Real estate ni biashara nzuri ambayo ina costs chache (maintenance). Thamani yake inapanda kila mara japo not 100% guaranteed kuna factors zinazoweza kufanya usipate faida.
Lakini uki compare na biashara nyingine kujenga nyumba za biashara (commercial real estate) hazina risk kubwa sana. Ndio maana mtu anakimbilia huko maana hata akikosekana mpangaji nyumba/frame itakaa mpaka apatikane mpangaji.
Ukifuga kuku au kulima cabbage ukikosa mteja week moja tu tayari hasara.
KIkubwa kwenye investment yoyote ni kusoma market ninche. Kuna uwekezaji una risk kubwa (ofcourse unakuwa na reward kubwa pia) na uwekezaji wenye risk ndogo na return yake huwa ni ndogo.
So waliochagua real estate wamewekeza kwenye low risk investment.
Kuna watu wanatupa hela hundreds of millions kwenye machimbo ya dhahabu kwa week halafu zinaungua chap tu na anarudi kesho yake na anaweza kutengeneza faida hata ya 100%.
Mtu mwingine angesema hizo millions bora ningejenga nyumba/frame niwe nakula kodi taratibu lakini mwingine anaona kama ni kupoteza muda anataka hizo millions zizae billions ndani ya mwezi na wapo wanaofanikiwa.
Kikubwa ni kujua uwezo wako na kuwa na strategies.
Mwanzoni sikuwa na exposure kabisa niliamini Frame ndio njia pekee ya kupata ukwasi, vijana wamefata mkumbo huo huo kijana ana mtaji wa million 5 anaenda kulipia Frame 1.5M per year anafatilia vibali laki 5 yote inaisha huko bado hajafanya decoration dukani mwisho anabaki na million 2.5 baada ya mwaka anafunga duka anaondoka?
Ukizunguka maeneo mengi hapa daresalam unakutana na duka mwaka huu wanauza nguo mwakani wanauza kitu kingine atleast yale maduka ya mangi yanaweza kutoboa hata miaka 5.
Mwanzo nilikuwa sijui kwamba hata kwenye ufugaji wa kuku unaweza kujenga nyumba na kupata premio, huko kwenye ufugaji nimeona watu wakipata some cash ambayo inawasaidia naona hawakimbizani na TRA na mlolongo wa tozo.
Kwanini watu bado tunakimbilia uchumi wa Frame? Je ni identity au ni nini?
Kwenye kuku Hawa weupe ikipita hata siku moja tayari ni hasara,Ukifuga kuku au kulima cabbage ukikosa mteja week moja tu tayari hasara.
Nipo madam unaendeleaje?Mkuu upo ?
Yeah kila uwekezaji una changamoto zake so usishangae mtu kuona mwezake akiwekeza kwenye bodaboda na yeye anaona kulima matikiti ndio deal.Kwenye kuku Hawa weupe ikipita hata siku moja tayari ni hasara,
Kuna watu wanapiga billions ndani ya mwezi mchangani huko. Anachafuka matope ila anachuma gold.Kufuga muda wote unakua mchafu mchafu. Lakin ukiwa na frem yako ya kuuza makava ya iphone pale makumbusho aaaaaah mda wote unangaa na pamba kali!!😅😅😊😊
Biashara unaijua au unaisikia ulishawahi kukaa week nzima bila kuuza? Ulishawahi kuamka ukakuta duka limeungua?Ufugaji unaujua au unausikia,ulishawahi amka ukakuta vifaranga vyote vimekufa.
Anyway to each their own.
Tuwekeze kwenye kuku wa kienyeji hapo vipi? Reward ya muda mrefu lakini hakikaView attachment 3695086kuna siku niliamka nikakuta huo mzigo hapo , ilikuwa msimu wa baridi zaidi ya vifaranga 80
Naitaka hii.View attachment 3695087ukiwa DASLAM unapata wapi akili ya kumilili dhabahu hii?
Ndio hela ambayo haina kodi ya TRA, faida ya maziwa, mayai na nyama yote ni yako. Majani ya kulisha mifugo hayaitaji risitiKufuga muda wote unakua mchafu mchafu. Lakin ukiwa na frem yako ya kuuza makava ya iphone pale makumbusho aaaaaah mda wote unangaa na pamba kali!!😅😅😊😊
Ufuge Kuku ujenge nyumba? Uongo utaambulia hela ya kula tuMwanzoni sikuwa na exposure kabisa niliamini Frame ndio njia pekee ya kupata ukwasi, vijana wamefata mkumbo huo huo kijana ana mtaji wa million 5 anaenda kulipia Frame 1.5M per year anafatilia vibali laki 5 yote inaisha huko bado hajafanya decoration dukani mwisho anabaki na million 2.5 baada ya mwaka anafunga duka anaondoka?
Ukizunguka maeneo mengi hapa daresalam unakutana na duka mwaka huu wanauza nguo mwakani wanauza kitu kingine atleast yale maduka ya mangi yanaweza kutoboa hata miaka 5.
Mwanzo nilikuwa sijui kwamba hata kwenye ufugaji wa kuku unaweza kujenga nyumba na kupata premio, huko kwenye ufugaji nimeona watu wakipata some cash ambayo inawasaidia naona hawakimbizani na TRA na mlolongo wa tozo.
Kwanini watu bado tunakimbilia uchumi wa Frame? Je ni identity au ni nini?
Risky Assessment ❎risky assessment
Hapana sijawaingiza mkenge, najaribu ku explore tu ufugaji sio lazima broiler kuna kuku wa kienyeji nimeenda sehemu nimekuta mtu anauza kuku 50 after 3 months pia anauza vifaranga vya kienyeji wa mwezi mmoja 5000, kwa broiler sijajua sana lakini kuna mahali nilikuepo nikawa naona biashara ya Mayai hata ukiwa na tray 50 zinachukuliwa zote pia it seems ni biashara nzuri
Dah inatafakarisha sanaMengi husemwa sana kuhusiana na miradi ya kilimo/ufugaji lakini ukweli ni kwamba zina changamoto nyingi sana ndio maana wengi wanaozifanya hizo shughuli ukweli ni kwamba waga hawana tu shughuli mbadala za kufanya.
Tujiulize tu swali dogo; kwa nini wakulima na wafugaji hata katika nchi zilizoendelea sana duniani bado wanategemea kupatiwa ruzuku na serikali zao na bila ya hivyo wako tayari kuingia barabarani kuzidai kwa nguvu...!!!!????
Turudi hapa kwenye Shithole Countries zetu hizi;
Mtu anahangaika kulima msimu mzima na kisha akivuna anaamurishwa akauze wapi kwa bei anayopangiwa na mnunuzi wake na ambayo ni ndogo au mkuu wa wilaya anaweka amri hakuna mazao kusafirishwa nje ya wilaya.
Hata kwa wafugaji changamoto ni kibau mara hamna dawa za kuoshea mifugo, mara kiangazi kimepiga na mifugo wamekufa na inakula kwako, mara huduma za tiba kwa mifugo hazipatikani kabisa.
Hizo changamoto ni kubwa na ni shida sana kwa wakulima na wafugaji wadogo wadogo ambao hawana mitaji ya maana ambao ndio wengi zaidi hali inayopelekea hizi shughuli kufanywa na watu wanaoonekana kushindwa maisha na kukata tamaa.
Serikali siku zote haina msaada wowote kwa watu hawa na hilo linadhihirishwa zaidi na bajeti ya wizara husika ambayo ni moja kati ya iliyo ndogo zaidi nchini.