Kwanini Tanzania tumeng'ang'ania uchumi wa frame za maduka? Mbona hata ufugaji unalipa?

Wee unasema mbege. Kuna wale wanabeba watu mgongoni kuwavusha wakati wa mafuriko wanapiga hela ndefu hadi kusomesha watoto wao private.
 
Wee unasema mbege. Kuna wale wanabeba watu mgongoni kuwavusha wakati wa mafuriko wanapiga hela ndefu hadi kusomesha watoto wao private.

Mishe na Mipango Ipo Watu Hawatembei Kujifunza Kwa Watu.

Nnje ya Mji Kdgo Morogoro Road (To Kibamba), Bagamoyo Road (To Mapinga) na Mbezi To Mbezi Via Goba Road Ni Sehem Nimekua Nikizi Study Sana Kwa Muda Flan naeza fanya shughuli gan maisha yakaenda.

I must say Morogoro Road palini impress sana

Wapo Watu Wanatoa Vitu Town na Kuuza Kule Na Wanaishi Sana Na Wengine Wanafanya Mipango Yao Kule Kule Na Wanaishi Sanaa.

It all closes to mindset. Katikati Ya Mji Wajuaji Wengi. At times hela utaipata nnje ya mji au nnje kdgo ya Mji.

Kuna jamaa alianza na duka la vifaa vya bomba tu kibamba kwa 10 M frame ipo home kwenye kiwanja chake (halipi rent, stock haiozi) leo yupo mbali sanaa sanaaa (in just 3 years)

So malume sometime tutoke kwenye comfort zone.
 
Kila sehemu kuna pesa ila asilimia 100 ni 20 % ndo wanabreak even hivyo kila kitu kina siri yake ,uvumilivu tu ndo unahitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…