Atlantis Voyager
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 371
- 502
Inafadhaisha,Nimekwenda Cairo kama mtalii, usiku kuna dinner and dance kwenye boat ndani ya mto Nile, Kuna kupanda ngamia, kuona pyramid. Shamba la spice na maua. Ni vitu vidogo lakini vyote unawekewa kwenye ratiba. Na unaambiwa kesho saa nne mnakwenda kupanda ngamia. Sisi tunashindwa wapi?
Kuna wanaosema tumewekeza vya kutosha kwenye utalii. Fikiria hizo live band kwenye maji zitatoa ajira kwa vijana wangapiInafadhaisha,
Hakuna ubunifu au ubunifu ukiwepo unakutana na ukiritimba haieleweki..
Kwa bahari, mito, maziwa tuliyonayo, hatuna boat rides, hatuna hizo boat hotels za dinner,
Tupo tupo tu, tukitafuta mchawi! Too bad
Everyday is Saturday......................... 😎
Hata ukitangaza huduma ni mbovu What do you expect?Marketing strategy is poor, tume fail kwenye kutangaza vivutio vyetu vya ndani, ni mpaka tusaidiwe na Kenya [emoji1139] kweli
Siwezi kumjibu ila kwa uswahili anaweza kujibiwa.Kuna mzungu mmoja aliwahi kuniuliza mbona chips mayai mtaani ni 2,500 hadi 3,000 lakini Nyerere Airport ni 18,000. Kwa nini kuna tofauti kubwa hivyo na hizi za mtaani ni tamu sana?
Mtu kama huyo mnamjibu vipi?
Nchi hii tumewekeza kwenye siasa hilo halina ubishi wala mjadala, nenda kwa watendaji serikalini wengi wapo kisiasa..Kuna wanaosema tumewekeza vya kutosha kwenye utalii. Fikiria hizo live band kwenye maji zitatoa ajira kwa vijana wangapi
Kanchi Kama Rwanda kanaenda tangaza utalii wake na Arsenal, unaona kabisa level of seriousnessMarketing strategy is poor, tume fail kwenye kutangaza vivutio vyetu vya ndani, ni mpaka tusaidiwe na Kenya [emoji1139] kweli
Kabla ujafika Morogoro ukitokea Chalinze Kuna maeneo mazuri sana kungetakiwa kuwe na hoteli nzuri sababu mandhari ya yale maeneo ni nzuri sanaIli sekta ya utalii ifanikiwe tunahitaji pia miundo mbinu. Unawapeleka watalii Ruaha au Mikumi kutoka JKN hakuna sehemu yenye hadhi njiani kwenye vyoo na maji ili watu wajisaidie na kunawa mikono. Kweli mnawaambia watalii wachimbe dawa bila maji wala tissues.
Hizi Break Points pia ziwe na petrol stations na migahawa anaetaka kula ale. Vyoo kwa watalii tour company iwalipie lakini wengine walipe sh 500 kutumia choo.
Hizi facilities za kuchimba dawa ni shidaaIli sekta ya utalii ifanikiwe tunahitaji pia miundo mbinu. Unawapeleka watalii Ruaha au Mikumi kutoka JKN hakuna sehemu yenye hadhi njiani kwenye vyoo na maji ili watu wajisaidie na kunawa mikono. Kweli mnawaambia watalii wachimbe dawa bila maji wala tissues.
Ukichunguza wenye tenda za hiyo migahawa wengi ni wachaga, hawa watu hawanaga utu kabisa wenyewe ni pesa mbele.Kuna mzungu mmoja aliwahi kuniuliza mbona chips mayai mtaani ni 2,500 hadi 3,000 lakini Nyerere Airport ni 18,000. Kwa nini kuna tofauti kubwa hivyo na hizi za mtaani ni tamu sana?
Mtu kama huyo mnamjibu vipi?
Dhambi ya ukabila ni mbaya sana. Utashangaa kuwa mwenye mgahawa ni MchinaUkichunguza wenye tenda za hiyo migahawa wengi ni wachaga,hawa watu hawanaga utu kabisa wenyewe ni pesa mbele.
Ndio argument tuliyokua nayo ila kiuhalisia hii hoja inakua valid pale ambapo demand ya products zetu inapokua kubwa kuliko carrying capacity yetu. Lakini mpaka sasa hivi bado tuko chini sana katika namba kulinganisha na vivutio vyetu.ishu sio namba ya watalii.. ishu ni mapato ya utalii, utalii wetu ni low density high quantity.. while kenya ni high density low quantity
Hii ndio sababu kuu.ukiuliza wahusika wa utalii kwanini tuna charge pesa nyingi hivi wanajibu sisi utalii wetu una target watakii matajiri tu,watalii maskini waende vi nchi vya huko jirani.
Unabaki unashangaa tu.
Kuna issue moja kubwa ambayo wahusika wanashindwa kuelewa hua wakiangalia Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar wanahisi zipo unique sana ila kiuhalisia they are not. Mfano mtalii akitoka Ulaya au America lengo lake kuu ni kuona Simba, Chuo, Tembo na wanyama wengine, ni wachache sana wanataka waone specific things kama Migration na other physical features.Hii ndio sababu kuu.
Asilimia kubwa ya watalii tunaiwapokea Tanzania wanakuja kwa ajili ya kutembelea mbuga zetu pamoja na kupanda Mlima Kilimanjaro and Meru, Kwenda kwenye Fukwe na jufurahia hoteli zetu hizo ni ziada.
Tatizo ni kwamba gharama zetu (viingilio) ni vikubwa sana na hili limekuwa tatizo. Kama serikali ikiamua kutumia utalii kama sehemu ya kutoa ajira kwa wananchi hapo tutapokea mamilioni ya watalii.
Ila kama serikali itaweka kipaumbele kwa kukusanya mapato directly kutoka kwa mtalii hapo namba ya watalii lazima isue.