Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

Huu siyo muda muafaka wa kujibu swali hilo. Naomba uliondoe kwa sasa, ikifika Pasaka utauliza.
 
Hii nimeikubali sasa hapo umetutoa ujinga na ushamba
 
Hata sikukuu zote za Xmas, New Year, Pasaka ni Sikukuu za Kanisa Takatifu Katoliki....Wakristo wote wanazifuata


Ahaa sasa basi, waache kudharau wakati Kanisa Katoliki Takatifu la Mitume ndilo linawapangia kalenda na maadhimisho ya Sikukuu za Kikristo
 
Safi sana chief....pia kwa kuongezea tu lazima hizo alhamisi na ijumaa ziwe ndani ya siku 40.nadhan huyu mhishimiwa atakuwa ameridhika na hili jibu!
 
Sasa msabato inakuuma nini wakatoliki tukifanya yetu
 
Watu humu wanajiita ni wakristo lakini hata huo ukristo wao hawaujui.
Kweli wagalatia mmelogwa. Na aliyewaloga hajulikani.

Kwa hiyo hata Sikukuu ya Pasaka hamuijui vyema? Mnabahatisha bahatisha tu.

Kuna mtu anasema Sikukuu ya Pasaka inapangwa na kalenda ya Kanisa Katoliki!!!
Anasahau kuwa hata kabla ya Yesu hajalizwa sikukuu ya Pasaka ilikuwepo na ilikuwa ikisheherekewa kila mwaka.
 
Kwa maelezo ya ziada pitia hiki kitabu:

*_>>The Easter Celebration - History of Its Hidden Origins_* (Traditions of North America and the Western World Book 1)
Hii mada yako ya ku-copy na paste tunaomba uilete mwakani wakati Easter(Pasaka) inakaribia...huko tutakupa majibu mujarab


Kwaleo tuliwaomba mlete uharo wenu wa Xmas lakini naona kimya....Wiki hii tupo na xmas na New Year



BTW: Merry Xmas
 
Usijitaabishe na reference za kutunga. Unachopaswa kujua ni kuwa kanisa lililetewa Roho Mtakatifu ili lifundishwe zaidi kumjua na kumtii Mwenyezi. Hizo sikukuu ni models za kufundishia. Zinafundisha kuwa ni kweli Kristu alizaliwa, akaishi, akateswa, akafa, akafufuka na atakuja tena. Zaidi sana unapaswa kujua kuwa jambo lolote halali likifanywa kwa ajili ya sifa na utukufu wa Mungu, hupokelewa kama ibada.
 
Lakin pasaka ilikuwepo enzi na enzi
 
Yaan ingeadhimishwa na tarehe zile zile mkuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…