kenji pressident
Member
- Dec 13, 2017
- 18
- 7
Mambo ya kalenda hayoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise ndugu we mkaliPasaka kwa kigiriki ni* "Pasach" sawa na
*>>kiebrania* "Pasach". *>>Kwa kiingereza* ni
Passover.Hivyo kwa tafsiri ya Biblia pasaka sio
"Easter".
[emoji837] Pasaka ni sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu
Matendo 12:1-5.
Neno " Pasaka " kwa kiingereza ni "
Passover "
maana yake "kupita juu ya... "
*[emoji837] Katika Agano la kale pasaka inazungumzwa kuwa* :.M
ungu alimuagiza Musa kupaka damu katika miimo
ya milango ya Waisraeli wakati malaika AKIPITA kuangamiza wazaliwa wa. Kwanza wa wote wasio kuwa na hiyo alama ktk milango yao.
.....Kwa Waliopaka malaika alipita juu ya nyumba zao bila kuangamiza, waliokiuka alipita ndani na kuangamiza.
[emoji837] Kutoka 12:12-14; KJV.inasema "...i will
pass over you and the plague shall not be upon
you to destroy you.....And this day shall be unto
you for a memirial.
Hivyo pasaka ni kumbukumbu ya wana wa Israel toka
utumwani misri.
na Mungu akaagiza iendelezwe
hata nchi ya ahadi kanani.
[emoji837] Leo sisi ni Israeli ya kiroho tunaadhimisha kutoka
*Misri ya utumwa wa dhambi kwenda kanani ya mbinguni.*
......Katika Agano jipya 1Wakorintho 5:7-8. Basi
jisafisheni mkatoe ile chafu ya kale ...
....kwa
maana PASAKA wetu amekwisha kutolewa kuwa
sadaka yaani kristo......
Hakuna andiko linaloagiza utunzaji wa,"Easter"
kama pasaka.
hili la EASTER limetoka wapi?.
*_[emoji481]UKWELI JUU YA EASTER[emoji514]_*
___________________________
[emoji837] Jina EASTER linatokana na "Ostera"
au"Eostre" ambaye ni. goddness of sprin
(mungu wa mavuno)
katika nchi za Anglo-
Saxon,
... Babeli anaitwa "Ishtar",
Syria anaitwa
"Ashtaroth",
Kiebrania anaitwa "Ashtoreth",
Kigiriki anaitwa "Eostre"
Germany anaitwa "Ostera"
"Ishter" hutamukwa. "Easter"
[emoji837] Hii ni siku ya mungu
*"Tamuz"* ambaye ni mtoto wa pekee wa mungu
jua na mungu mwezi
Nimrod ni mjukuu wa Nuhu kwa kijana wake
Ham.
Ham alikuwa na kijana aitwae Kushi.
Kushi
alioana na Semiramis wakapata mtoto anaitwa
*>Nimrod<*
Baada ya kifo cha baba yake Nimrod akamuoa mamayake mzazi Semiramis akawa mtawala
mwenye nguvu sana.
Soma> Mwanzo 10:8-10)
[emoji837] Siku moja Nimrod alienda vitani na akauawa na
adui zake
...Semiramis akasema Nimrod ameenda juu
kwenye jua hivyo akaitwa Baal yaan mungu jua
(the goddnes of sun).Semiramis akaagiza
*akumbukwe kwa kuwasha mishumaa wakati wa ibada* (ndivyo wanavyofanya madhehebu mengi mpaka leo)
[emoji837] Semiramis akajiita "Ishtar"(easter)
*mungu mke*
"moon goddnes".
Huyu "Ishtar " akatembea na
kijakazi wake akapata mimba akasema kapata
mimba ,kupitia " Sun rays(miali ya jua)" kutoka kwa
"BAALI (Nimrod) ambaye alikuwa
*mungu JUA au mungu mume.*
Akazaa mtoto akamwita " Tamuz ".
[emoji837] Kijana huyo l (Tamuz) baadaye aliuawa na Nguruwe pori
alipokuwa akiwinda.
"Ishtar" *ANAABUDIWA kama "mother of god and queen of heaven".*
Ndivyo walivyofanya Roman Catholic had leo."Ishtar" wanamwita Bikira Maria.
[emoji837] Baada ya kifo cha
Tamuz, mama yake
akatangaza siku 14 za maombolezo akap
iga *MARUFUKU ULAJI wa NYAMA* ktk Maombolezo hayo
......ndivyo wanavyofanya Romani Catholic ktk
Siku ya IJUMAA *(ijumaa kuu)* kabla ya Jumapili ya Easter" hawali nyama.
*...Tukio Hilo limevikwa hadhi ya KUMBUKUMBU YA MATESO YA YESU.*
Tazama hii:
Every year on the first
Sunday after the first full moon after the spring
equinox a celebration was made until today).
"Ishtar/Ashtoreth" is queen of Heaven,
*[emoji837] EASTER ni kumbukumbu ya TAMUZ "*
Tuwe makini na mafundisho yasiyo ya KWELI.
>>Ktk Waamuzi 2:11-13-inazungumza taifa lilivyo asi
na kumwabudu *"Baal"*
.>>1Samwel 7:3-4-Waisraeli waligeukia Baali na
*Ashtoreth*
>>1Wafalme 11:4-6-Suleimam alivyomuoa
mwanamke wa kimataifa akamgeuza na kuabudu
*"Ashtoreth"*
[emoji433] Kwa maelezo ya ziada pitia hiki kitabu:
*_>>The Easter Celebration - History of Its Hidden Origins_* (Traditions of North America and the Western World Book 1)
Kesho wakristu duniani kote wanasherekea kuzaliwa kwa Yesu kristu mfalme... duniani kote wakristu wana sherekea siku hii December 25 na ni kila mwaka. Swali langu n moja kwann kifo na ufufuko wa Yesu kusingekuwa na specific date kama Christmas...?? Heri ya Christmas wana Jamii Forum....!!!
Mwezi wa sita, , means YESU alizaliwa NJITI?Ratiba ya pasaka inafata kalenda ya kiyahud ambaya ni fupi kuliko kalenda ya papa Gregory ( tunayotumia huku duniani)...aidha kama Luka inavyosema roho mtakatifu alisema na Mariam mwezi wa sita (Jewish calendar) ambao ni mwezi wa tatu katika Gregory calenda hivyo kuna uhalisia flan Yesu alizaliwa December kwa calenda ya Gregory...
Pasaka inategemea kalenda ya Kanisa kkatoriki
Kalenda inaandaliwa kijana acha kujitoa ufahamu.Sorry waweza kunipa fungu LA biblia kuhusu hicho ulichokisema kuhusiana na pasaka
Weee nae kama huwezi kujiongeza utajua mwenywewe.Mwezi wa sita, , means YESU alizaliwa NJITI?
Kesho wakristu duniani kote wanasherekea kuzaliwa kwa Yesu kristu mfalme... duniani kote wakristu wana sherekea siku hii December 25 na ni kila mwaka. Swali langu n moja kwann kifo na ufufuko wa Yesu kusingekuwa na specific date kama Christmas...?? Heri ya Christmas wana Jamii Forum....!!!
pasaka iliyoadhimishwa kabla ya kristu ni ile ya wana wa israel ambayo waliiadhimisha kama ukumbusho wa jinsi Mungu aliwakombia kutoka utumwani misri hivyo walikuwa wakila mkate usiotiwa chachu na mboga chungu...Lakin pasaka ilikuwepo enzi na enzi
Mama Maria alipata mimba mwezi wa sita, na mtoto YESU mwezi wa dec 25 kazaliwa,, sasa Itakuwa alizaliwa NJITI, na hyo mfanyie editingWeee nae kama huwezi kujiongeza utajua mwenywewe.
Miezi iliyotumika ni ya kiyahudi in utofauti sana na hii ya kwetu bosi. Nakushauri tafuta vitab kama unataka kujielimisha.Mama Maria alipata mimba mwezi wa sita, na mtoto YESU mwezi wa dec 25 kazaliwa,, sasa Itakuwa alizaliwa NJITI, na hyo mfanyie editing
Hyo miezi ya kiyahudi ipoje? Tuanzie hpoMiezi iliyotumika ni ya kiyahudi in utofauti sana na hii ya kwetu bosi. Nakushauri tafuta vitab kama unataka kujielimisha.
Chagua maneno vizuri,Wapinzani wa Katoliki ni Wasabato Na Waislamu tu.Wengine wote mbwembwe tu
Nashukuru kwa kunisahihishaChagua maneno vizuri,
Upinzani lina 'ukakasi' kiduchu.
Nijuavyo Mie;
Waislam wanatofautiana kiimani na Wakristu.
Hao wengine sijui.
Si kuwa eti waislam ni wapinzani wa Wakristu au Dini yoyote nyingine hiyo si kweli.
Kwanza sio kweli mama maria alipata mimba mwezi wa sita bali huo mwezi ni miezi 6 ya ujauzito wa elizabeth mkewe zakaria ndio malaika alitumwa kwa maria kwenda kumpasha habari maria na sio kushika mimbaMama Maria alipata mimba mwezi wa sita, na mtoto YESU mwezi wa dec 25 kazaliwa,, sasa Itakuwa alizaliwa NJITI, na hyo mfanyie editing