Plastic
JF-Expert Member
- Jun 2, 2019
- 223
- 335
Natumaini wote tumewahi kusikia au hata kuona mtu akiwa na tatoo kwenye sehemu fulani ya mwili wake.
Je, kwani tatoo ni ngumu sana kufutika??
Kwanza kabisa ni muhimu kujua kua tabaka la juu kabisa kwenye ngozi(epidermis) ndilo tunaloliana kila siku kwa macho na huwa na kawaidi ya kutoa seli zinazo kuwa "replaced" kwa haraka na seli mpya za aina hiyo hiyo.
Tabaka la pili la ngozi(dermis) lipo chini ya tabaka la juu(epidermis) na hubeba seli ambazo zinakuwa "replaced" taratibu sana ukilinganisha na zile za tabaka la juu.
Wakati wa uchoraji wa tatoo, sindano maalumu upenyeza hadi kwenye tabaka la pili la ngozi (dermis).
Wino maalum(tatoo ink) ulio na sifa ya kutoyeyuka huingizwa kwenye tabaka hilo.
Kwa kuwa seli zilizopo kwenye tabaka hilo hazipotei wala kubadilishwa kwa kasi, eneo hilo huendelea kubeba wino huo kwa muda mrefu.
Seli mpya zitakazo wekwa juu ya tabaka hilo huweza kupelekea kufifia kwa tatoo baada ya miaka kadhaa, lakini tatoo inakua ngumu kupotea kabisa.
Miale maalum iitwayo "laser" hutumika kuvunja wino wa tatoo kwenda kwenye chembe ndogo ndogo wakati wa ufutaji wa tatoo.
Source.
Tattoo ink nanoparticles in skin tissue and fibroblasts.
https://www.quora.com/Why-cant-I-se...-am-left-with-little-more-than-a-faint-smudge