Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Dec 18, 2023 #61 Wakili wa shetani said: Tanzania tende zinaweza kustawi wapi? Zinachukua muda gani hadi kuanza kuzaa matunda? Click to expand... Dodoma, Tanga, Pwani, baadhi ya sehemu Morogoro Kuanzia miaka 7 baada ya kupanda unaanza kula na kuuza Tende
Wakili wa shetani said: Tanzania tende zinaweza kustawi wapi? Zinachukua muda gani hadi kuanza kuzaa matunda? Click to expand... Dodoma, Tanga, Pwani, baadhi ya sehemu Morogoro Kuanzia miaka 7 baada ya kupanda unaanza kula na kuuza Tende