Kwanini tiger hawapatikani Afrika?

Kuhusu kutowahamisha,kwanza tujue wanaonunua wanakwenda kuwatumia kama pets,maonyesho.ingawa swala hili sio salama sana kwa mstakabali mzima wa utalii,ila linafanyika kwa wanyama wote kote,na wanaonunua ni hao hao waarabu,ila kwa china nadhani kuna sheria ngumu sana kuwahusu panda,nadhani walichemka😁😁,na dubu wale wa urusi.

Ila hawa wanyama wananunuliwa na waarabu kote duniani,sijajua kwanini hawajanunu anaconda🤣🤣🤣,labda hawajaipenda rangi yake😂.
 
Nature tu imeamua hivyo.....je Tiger angeweza kuishi ukandaa huu Africa hasa Sub-sahara?....

Anyway inasemekana walikuwepo huku Africa Karne nyingi Sana ila walielekea baadae huko Asia...


Live Science
Live Science | Latest science news and articles for those with curious minds › 32...
Why Don't Tigers Live in Africa?
 
Hawapendezwi na mifumo ya maisha ya nchi zenye viongozi vilaza waliojaa hapa Afrika.
 
Mbona Panda pia hawawanunui!?
😂😂😂😂anaconda nyoka wavivu,nyoka anajipindua masaa duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…