Kwanini tiger hawapatikani Afrika?

Kwanini tiger hawapatikani Afrika?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Afrika tumejaliwa wanyama wengi sana wa asili na mazingira yao mapori na misitu mkubwa lakini kwanini Mpaka sasa tiger hawapatikani Afrika wanatokea ASIA pekee sababu ni nini na hata kama wangekuwa asili yao sio Afrika, Je kwanini hawajaletwa huku mbona sisi tunawapelekea twiga na faru huko kwao.

Walking_tiger_female.jpg
 
Kwani tiger si ni kama Chui tu kitabia
Tigers wanapenda kuishi maeneo yenye misitu minene tofauti na chui ambao wanapendelea kuishi maeneo ya savana zaidi tofauti na Tigers.

Tigers ni wakubwa na wanawinda wanyama wakubwa tofauti na chui na wana nguvu zaidi ya chui japo sio hodari sana kuwinda kama chui alivyo .
 
Back
Top Bottom