ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Afrika tumejaliwa wanyama wengi sana wa asili na mazingira yao mapori na misitu mkubwa lakini kwanini Mpaka sasa tiger hawapatikani Afrika wanatokea ASIA pekee sababu ni nini na hata kama wangekuwa asili yao sio Afrika, Je kwanini hawajaletwa huku mbona sisi tunawapelekea twiga na faru huko kwao.