taiter
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 324
- 870
Hivi chui yupo kwenye orodha ya big five?Sababu ni maswala ya kihistoria ,pia kumbuka Africa kuna big five ,simba ,chui tembo ,kifaru, na nyati , ukimweka tiger ikolojia haitaleta uwiano na kufanya baadhi ya wanyama kutoweka.